Msaada wa eneo la kuuza juice ya miwa

Nipo

Nipo karibu na makumbusho lakin kupata eneo ni changamoto
Nenda kwenye ofisi za uongozi wa Soko uongee nao utapata tu. Ukiona ni ngumu kupata nenda eneo la Tanganyika Packers kule Kawe. Tena kule utapiga sana hela. Jumanne, jumatano, jumapili itakuwa ni siku ya neema mnoo kwako na ikiwezekana pika na half cake, maandazi na bites bites zingine
 
Asante kwa ushauri
 
Mpe namba zako akutafute 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…