Msaada wa eneo la kuuza juice ya miwa

Msaada wa eneo la kuuza juice ya miwa

Sawa
Kuna washikaji wameikamata hiyo biashara hapo, jamaa wanapiga sana hela ,sijui wanatumia nini, bonge la foleni kisa juisi! Wale abiria wa Makumbusho watakuwa mashahidi!

Ukiwa wa tofauti unaweza ukawavua soko lao coz wameanza kuringa, nenda kaonje ladha yao halafu tengeneza yako plus kuboresha mazingir
 
Ni kweli mkuu pamoja na hayo jamaa wanafanya biashara kwa upendo sana. Ngoja huyu Mdau nimuangalizie chimbo kesho anachotakiwa aje na taste ya kipekee kuwapiga bao maana akiwa mbunifu ataokota sana hela za Madereva, Makondakta, Wapiga debe na vijana wauza Iphone na watengeneza kucha
itabidi nipate kijana mzoefu wa hii kazi ili nimuajiri
 
ingia mitaani .. lazima utapata site tu! na hichi ndio kipindi cha kuuza juisi kwa sana.
 
CV, cover letter ya kuendana na kazi ukibadili vipo tayari?
 
Back
Top Bottom