Msaada wa eneo la kuuza juice ya miwa

Maeneo ya Makumbusho stendi
Kuna washikaji wameikamata hiyo biashara hapo, jamaa wanapiga sana hela ,sijui wanatumia nini, bonge la foleni kisa juisi! Wale abiria wa Makumbusho watakuwa mashahidi!

Ukiwa wa tofauti unaweza ukawavua soko lao coz wameanza kuringa, nenda kaonje ladha yao halafu tengeneza yako plus kuboresha mazingira!
 
Mtu yuko zake anapika dagaa wa buku ila ki jeiefu yuko vacation dubai
Mbaya sana hii lakini uhalisia huwa unabaki palepale tu. La msingi ni kukazia fikra katika mambo yatakayokusogeza mahali penye kukupa hadhi rather than faking life
 
Ni kweli mkuu pamoja na hayo jamaa wanafanya biashara kwa upendo sana. Ngoja huyu Mdau nimuangalizie chimbo kesho anachotakiwa aje na taste ya kipekee kuwapiga bao maana akiwa mbunifu ataokota sana hela za Madereva, Makondakta, Wapiga debe na vijana wauza Iphone na watengeneza kucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…