baraka muyabi
Senior Member
- Aug 13, 2012
- 162
- 58
- Thread starter
- #21
Mkuu unamaanisha ninunue sehemu kama autorec...befoward nkMkuu, tulizana akili ndiyo uchukue maamuzi. LEGE ametuita mabashite, lakini mimi nimezungumzia experience.
Baada ya gari ya jamaa yangu kuwa na tatizo kama lako, tulimshauri aweke engine ya 3s.
Alipoenda garage, fundi akamshauri anunue engine nyingine ya D4 kwa sababu ni rahisi. Alinunua na gari ikawa fresh. Baada ya miezi kama saba hivi, issue ikaibuka tena.
Mwisho wa siku jamaa yangu aliweka engine ya 3s. Mpaka leo gari ipo fresh.
Gharama alizotumia kutengeneza, ukijumlisha kununua engine ya D4, ambayo ilifaa kwa muda, ilikuwa ni hasara tupu.
Kama ukijikunja ukanunua engine ya D4 au 3s hakikisha unanunua ya kutoka nje ya nchi. Ni sawa sawa hiyo engine yako uivue halafu ifanyiwe marekebisho kidogo na iuzwe kama used.