zeck 9t
New Member
- Jul 21, 2018
- 4
- 1
Habari ndugu wanajamii forums mie ni mgeni humu ila nashukuru kwa topic zenu. Shida yangu kubwa ni kutaka kujua kama endapo mtu unaamua kujitolea msaada figo kwa wagonjwa wenye tatizo, hata kama sio ndugu yako je unatakiwa ufate taratibu gani ili kuwapata walengwa na inawezekana kufanya hivyo? Na athari zake ni zipi pindi ufanyapo hivyo?