Msaada wa fundi: Toyota Runx inabugia mafuta

Hivi wanavyosemaga engine kizidi 150k km inabidi uweke 20w-50 hii imekaaje?
kuna post nyingi za watu kulalamika ulaji wa mafuta baada ya kuweka oil ya 20W50,

nikushauri tu kabla ya kufanya mengine ibadili weka recommended castrol 5W30 sythetic

achana na maneno ya wauzaji maana mtengenezaji wa gari hakuna mahali amesema ikifikisha km 150k+ uweke 20W50
 
Aisee, basi mafundi wengi wa kibongo wanabahatisha na kuishi kimazoea
 
Hivi wanavyosemaga engine kizidi 150k km inabidi uweke 20w-50 hii imekaaje?
Weka recomended engine oil, mie yangu natembelea 700km kila wiki ilibidi ninunue tu passo inakula 18km p lt. Service ilopita nlifanyiwa uhuni wakaniwekea oil ya kupima ilianza kula 15kml nimebadili oil imerudi normal
 
Weka recomended engine oil, mie yangu natembelea 700km kila wiki ilibidi ninunue tu passo inakula 18km p lt. Service ilopita nlifanyiwa uhuni wakaniwekea oil ya kupima ilianza kula 15kml nimebadili oil imerudi normal
Duuh!
 
Habari mkuu vipi bado gari yako inachangamoto
 
Hili nalo jaribu kucheki kwa gari yako weka oil ya continental ama castro 5w30 thinthetic oil ina bei kidogo nafikiri nilf 25 ama 30 kwa lita
Kwa hakika ni oil,haijawekwa recommended!Mafundi wetu Hawa wamekariri kwa kuweka oil nzito ya 20w50 kitu ambacho kinasababisha oil kutoflow vizuri kwenye parts za engine...
Jana usiku nimekesha nikireview hizi oil!
Yaani nimehamia na Mimi muda Si mrefu naenda kuweka 5w30 .Mi mwenyewe mafundi wangu wamekuwa wakirecomend Hiyo 20w50 which is wrong.na point Yao kubwa eti bongo ni joto
 
Tuna mafundi wajinga wajinga sana.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Kama ujiyoa koil gati haibadili mlio.Ni ishara ya kwanza kwamba nozzle ni mbovu.Ila kama nozzle ni nzima,ukitoa coil na isipobadili mlio hapo sasa ndo unaweza kusema coil ni mbovu
 
Km zote hizo? Gari ishachoka aliyeuza sio mjinga!
Gari inachokaje mkuu watu wanamagari yana 200k+ km ila matengenezo na nini ufanye kwa wakati gani ndio inatathmini hali ya gari lako. Cha kumshauri kwanza awe na manual ya gari husika aangalie ni service gani inahitajika au ni kifaa gani cha kubadili kwa km zilizopo na muda mwingine hata ukanyagaji wa mfuta nao unachangia (udereva wako)
 
Tena wengine husema oil ni oil tu. Hapo unakuta anauza pia hizo za 15w40 au 20w50. 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…