falcon Q
JF-Expert Member
- Feb 28, 2023
- 972
- 2,569
Duuuh, ilikua na km ngapi?
60+ hv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh, ilikua na km ngapi?
kuna post nyingi za watu kulalamika ulaji wa mafuta baada ya kuweka oil ya 20W50,Hivi wanavyosemaga engine kizidi 150k km inabidi uweke 20w-50 hii imekaaje?
Aisee, basi mafundi wengi wa kibongo wanabahatisha na kuishi kimazoeakuna post nyingi za watu kulalamika ulaji wa mafuta baada ya kuweka oil ya 20W50,
nikushauri tu kabla ya kufanya mengine ibadili weka recommended castrol 5W30 sythetic
achana na maneno ya wauzaji maana mtengenezaji wa gari hakuna mahali amesema ikifikisha km 150k+ uweke 20W50
Nakazia hapa.Check MAF sensor, check Oxygen sensor
Haswaaa😀😀😀 EECMpya sana hii itakua E ya mbele mbele
Weka recomended engine oil, mie yangu natembelea 700km kila wiki ilibidi ninunue tu passo inakula 18km p lt. Service ilopita nlifanyiwa uhuni wakaniwekea oil ya kupima ilianza kula 15kml nimebadili oil imerudi normalHivi wanavyosemaga engine kizidi 150k km inabidi uweke 20w-50 hii imekaaje?
Duuh!Weka recomended engine oil, mie yangu natembelea 700km kila wiki ilibidi ninunue tu passo inakula 18km p lt. Service ilopita nlifanyiwa uhuni wakaniwekea oil ya kupima ilianza kula 15kml nimebadili oil imerudi normal
Sawa sawaNakazia hapa.
Hongera mkuuHaswaaa[emoji3][emoji3][emoji3] EEC
Habari mkuu vipi bado gari yako inachangamotoWakuu kwema,
Kuna Toyota Runx nimenunua mkononi yapata mwezi mmoja sasa. Ila ulaji wake wa mafuta unanitisha sana.
First time nimeweka mafuta full tank, ila baada ya km 143 tank likafika nusu kasoro bar 2 nikajazia lita 20 ili iwe full.
Second time nimeenda km 192 tank likaenda bar moja chini ya half tank, kujaza tena ili iwe full tank nimeweka lita 30.
Mara ya kwanza nilikua natumia full AC mara ya pili AC nilikua natumia occasionally kutokana na hizi mvua.
Ukiangalia haraka ni kama 6.5-7km/l hata kama ni hizi foleni za Dar mbona huu ulaji naona unatisha? Natoka tabata to mjini around km 13/14 kwenda na kurudi asubuhi na jioni.
Important details ninazokumbuka;
1. Ina km 180904
2. cc1490
3. Oil nikibadili baada ya kununua (20w-50), muuzaji aliniambia ninunue hii kwa sababu engine ina zaidi ya km 150k
4. Nilibadili plugs zote 4 ila sikuangalia specifications ( jumla ilikua 60k)
Please msaada, nifanye nini iwe na ulaji angalau 12km/L kwa hizi foleni za Dar. Kama kuna mtu anaweza ku recommend garage/fundi mzuri wa hili tatizo msaada please.
Yes, bado sijaenda kwa fundi, nilisafiri kidogo nikirudi after two weeks ntaipeleka.Habari mkuu vipi bado gari yako inachangamoto
Mindset za kimaskini,so gari likiwa lina shida badala ya kuitengeneza unaisukumia ile kwa mtu mwingine!Iuze haraka sana....hamna gari hapo
Kwa hakika ni oil,haijawekwa recommended!Mafundi wetu Hawa wamekariri kwa kuweka oil nzito ya 20w50 kitu ambacho kinasababisha oil kutoflow vizuri kwenye parts za engine...Hili nalo jaribu kucheki kwa gari yako weka oil ya continental ama castro 5w30 thinthetic oil ina bei kidogo nafikiri nilf 25 ama 30 kwa lita
Tuna mafundi wajinga wajinga sana.Kwa hakika ni oil,haijawekwa recommended!Mafundi wetu Hawa wamekariri kwa kuweka oil nzito ya 20w50 kitu ambacho kinasababisha oil kutoflow vizuri kwenye parts za engine...
Jana usiku nimekesha nikireview hizi oil!
Yaani nimehamia na Mimi muda Si mrefu naenda kuweka 5w30 .Mi mwenyewe mafundi wangu wamekuwa wakirecomend Hiyo 20w50 which is wrong.na point Yao kubwa eti bongo ni joto
Kama ujiyoa koil gati haibadili mlio.Ni ishara ya kwanza kwamba nozzle ni mbovu.Ila kama nozzle ni nzima,ukitoa coil na isipobadili mlio hapo sasa ndo unaweza kusema coil ni mbovuNozzle za gari ya petrol huwa zinatumia umeme kurusha mafuta so fundi huwa wanaziwekajeje sijui kwenye betri zinamwaga mvuke wa mafuta, ukiona inamwaga mafuta maana imekufa hiyo, kucheki coil ni rahisi unawasha gari unakuwa unatoa coil moja moja kuna namna coil ukiitoa gari haibadili muungurumo, maana yake hiyo coil mbovu
Gari inachokaje mkuu watu wanamagari yana 200k+ km ila matengenezo na nini ufanye kwa wakati gani ndio inatathmini hali ya gari lako. Cha kumshauri kwanza awe na manual ya gari husika aangalie ni service gani inahitajika au ni kifaa gani cha kubadili kwa km zilizopo na muda mwingine hata ukanyagaji wa mfuta nao unachangia (udereva wako)Km zote hizo? Gari ishachoka aliyeuza sio mjinga!
Tena wengine husema oil ni oil tu. Hapo unakuta anauza pia hizo za 15w40 au 20w50. 😁Kwa hakika ni oil,haijawekwa recommended!Mafundi wetu Hawa wamekariri kwa kuweka oil nzito ya 20w50 kitu ambacho kinasababisha oil kutoflow vizuri kwenye parts za engine...
Jana usiku nimekesha nikireview hizi oil!
Yaani nimehamia na Mimi muda Si mrefu naenda kuweka 5w30 .Mi mwenyewe mafundi wangu wamekuwa wakirecomend Hiyo 20w50 which is wrong.na point Yao kubwa eti bongo ni joto