maharage ya nazi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 344
- 230
Kwa ambaye hakuielewa wish ndio long range(MPV) ya IST muundo wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uvivu, hebu google huko.Wish inafananaje
Uongo kabisaKwa ambaye hakuielewa wish ndio long range(MPV) ya IST muundo wake
Inawafaa kule Aleppo au Monsul. Mbona nitaitwa GAIDI??Chukua toyota isis kama hutajal
Gari ina sura mbaya kama makalio ya mbuzi... sitakuomba lift mkuu.
Mzazi wako akikataa kuipanda usije ukasema ana dharau.
Ikiwa chini si unaipandishaTatizo la wish ni gari laini mno. tazama nyingi bampa za mbele zilivyochoka. na pia zipo chini sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wish nyingi nilizoona either zimebonyea, bampa limeharibika yaani gari halina tofauti na karatasi. Laini sana.Tatizo la wish ni gari laini mno. tazama nyingi bampa za mbele zilivyochoka. na pia zipo chini sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana! Ni modeli mpya wa SPACIO !!Kwa ambaye hakuielewa wish ndio long range(MPV) ya IST muundo wake
Imetengenezwa kwa barabara za lami. Ukienda nayo huko Tandik* na Vingungit* lazima utaharibu bumperTatizo la wish ni gari laini mno. tazama nyingi bampa za mbele zilivyochoka. na pia zipo chini sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mrejesho jombaa. Ilivutwa ipi.Nashukuru sana...wacha niendelee na zoezi la Toyota Wish..Noah sipendei sana.
Alichukua Passo baada ya budget kugongea apoMrejesho jombaa. Ilivutwa ipi.
Je bado unayo
Lita 80 kutoka Dsm-Mwanza (850kms) ni average ya 10km/l tena highway huwezi kuisifia kwa fuel consumptionToyota wish ni 1.8 vvti engine ni gari bomba sana. Na ukinunua new model kuanzia 2005 ushuru wake ghali sana.
ISIS sio nzuri ukizingatia wamechanganya D4+vvti ina matatizo ya engine.
Wish ukinunua itabidi upandishe body kwa kuwa iko chini.
Wish gari mzee.
Niliendesha dar mwanza lita 80 tu nilitumia
Lita 80 kutoka Dsm-Mwanza (850kms) ni average ya 10km/l tena highway huwezi kuisifia kwa fuel consumption
Hata ikiwa 900km ni 11km/l highway is not that much great kwa baby walker km Wish. Ni average consumption ya CrownNi zaidi ya 900km
Hata ikiwa 900km ni 11km/l highway is not that much great kwa baby walker km Wish. Ni average consumption ya Crown