Msaada wa Gari ya Toyota Wish

Msaada wa Gari ya Toyota Wish

Gari ina sura mbaya kama makalio ya mbuzi... sitakuomba lift mkuu.

Mzazi wako akikataa kuipanda usije ukasema ana dharau.

Nimelionja, usipime. Huu Muundo unaitwa "Stream" wa kukata upepo, mfano wa ndege zilizo ghali zaidi duniani. Ndani ya gari hili usiombe, unafanya kikao hata cha Kitchen party au cha Board.
 
Chukua wish, kwanza mafuta inakula vizuri sana halafu inabeba abiria wengi

Sent from my Iphone 6 Plus using JamiiForums mobile app
 
Toyota wish ni 1.8 vvti engine ni gari bomba sana. Na ukinunua new model kuanzia 2005 ushuru wake ghali sana.

ISIS sio nzuri ukizingatia wamechanganya D4+vvti ina matatizo ya engine.

Wish ukinunua itabidi upandishe body kwa kuwa iko chini.

Wish gari mzee.

Niliendesha dar mwanza lita 80 tu nilitumia
Lita 80 kutoka Dsm-Mwanza (850kms) ni average ya 10km/l tena highway huwezi kuisifia kwa fuel consumption
 
Hata ikiwa 900km ni 11km/l highway is not that much great kwa baby walker km Wish. Ni average consumption ya Crown

Umeianza tena crown na huku [emoji23]

Ngoja waje wakwambie kwann usilinganishe na S Class[emoji1787]
 
Moja kbsa wish ball joint zake ni ndog km ractis miguu husumbua sanaa km n mzee qa road trip na rafu road miguu services yake aiepukik other wise udereva wako uwe mzur kweny mashimo unese ty pia body lake n rain tafuta rangi ambay body bumber likizingua linashonwa n kurudiwa rangi

# la mwisho ukiinunua kaiwekee Spencer ipande juu kidg
 
Back
Top Bottom