Msaada wa gari yangu

Alitaka tujue ana gari aina ya Nissan Xtrail
 
Air Mass Flow Sensor..! Unaweza kuisafisha au kuibadili kabisa mkuu
 
Kama ni auto angalia hydraulic fluid kwenye gearbox kama ipo yakutosha. Tatizo bilashaka ni gearbox
 

Kwanza pole mkuu. Kama engine haikuoshwa then tatizo lako halijasababishwa na aliyeosha gari kama walivyosema wadau wengine.

Sijajua upo mkoa gani. Ila kam upo Dar nipigie 0621 221 606. Tupime tuone shida ni nini.
 
Niliwahi kupata tatizo kama hilo kwenye xtrail, fundi alibadilisha relay tatizo likaisha. Japokuwa wakati mwingine linasababishwa na fuse.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…