Unataka kufanyia nini? OK, ngoja waje kina MziziMkavu mshanajr
mpeleke clinic ya mbwa .. kama upo dar hapa maeneo ya morroco ipo watamtibuNina mbwa wangu kaumia sasa nataka nimtilie ndio nimuwekee dawa. Ni mkali balaa
Sasa mkuu nitaipata wapi
Nikienda hospital naweza kuuziwa?
simanjiro duh hapo sijui labda uulize machalii ya huko kama kuna hospital ya mbwaa na pakaNipo maeneo ya poriniporini huku simanjiro ndio maana nataka niifate kwa pikipiki
pole mwache ataponaNadhani hamna maana hata nikiuliza nachekwa