Msaada wa haraka! Dawa ya ganzi

Msaada wa haraka! Dawa ya ganzi

bokilo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2015
Posts
513
Reaction score
1,037
Wanajamii habarini za muda huu.
Naombeni kuuliza hivi ile dawa ya unusukaputi au ganzi ya mwili mzima inauzwaga wapi?
 
Nusu kaputi kuuzwa madukani? Sijawahi sikia! Ngoja tusubiri wanaojua
 
sidhani kama inauzwa dukani aiseee............... ila unataka kufanya nini? unafanya operation nyumbani?
 
sidhani kama inauzwa dukani aiseee............... ila unataka kufanya nini? unafanya operation nyumbani?

Nina mbwa wangu kaumia sasa nataka nimtilie ndio nimuwekee dawa. Ni mkali balaa
 
Christmas imekaribia. Usile kitu uwapo safarini utakachopewa na abiria mwenzako. I smell a big rat.
 
Nenda maduka makubwa ya dawa zipo! hasa duka zilipo karibu na hospital wanauza kama una kibali maalumu ila kama unajua kuzungumza kiutuuzima unapata bila kibali chochote
 
Am doctor by professional !
Kaka, anaesthisia drugs for example ketamine n.k
Zina taaratibu zake za kuzitoa,, sasa wewe unataka umuwekee huyo mbwa wapi ?
Unaifahamu anatomy ya mbwa ?
Unajua kiwango cha kumpa ?
Nakushauri muone bwana mifugo hata huko vijijini wapo atakusaidia
 
  • Thanks
Reactions: Art
Back
Top Bottom