abdulrahim
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 408
- 286
nenda central pale karibu na stand ya kwenda Kigoma..Kuna duka kubwaa saana pale waulize wale jamaa wanaosimamaga kwenye ile njia panda wamevaaa nguo za khaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda maduka makubwa ya dawa zipo! hasa duka zilipo karibu na hospital wanauza kama una kibali maalumu ila kama unajua kuzungumza kiutuuzima unapata bila kibali chochote
Am doctor by professional !
Kaka, anaesthisia drugs for example ketamine n.k
Zina taaratibu zake za kuzitoa,, sasa wewe unataka umuwekee huyo mbwa wapi ?
Unaifahamu anatomy ya mbwa ?
Unajua kiwango cha kumpa ?
Nakushauri muone bwana mifugo hata huko vijijini wapo atakusaidia
Sasa mkuu nitaipata wapi
Nikienda hospital naweza kuuziwa?