Msaada wa haraka! Dawa ya ganzi

Msaada wa haraka! Dawa ya ganzi

nenda central pale karibu na stand ya kwenda Kigoma..Kuna duka kubwaa saana pale waulize wale jamaa wanaosimamaga kwenye ile njia panda wamevaaa nguo za khaki
 
Nenda maduka makubwa ya dawa zipo! hasa duka zilipo karibu na hospital wanauza kama una kibali maalumu ila kama unajua kuzungumza kiutuuzima unapata bila kibali chochote

Nashukuru mkuu hapo nitajitahidi. Kwa mfano kama kichupa ni sh 10,000 mimi nikatoa sh 20,000 mhudumu atakataa?
 
Am doctor by professional !
Kaka, anaesthisia drugs for example ketamine n.k
Zina taaratibu zake za kuzitoa,, sasa wewe unataka umuwekee huyo mbwa wapi ?
Unaifahamu anatomy ya mbwa ?
Unajua kiwango cha kumpa ?
Nakushauri muone bwana mifugo hata huko vijijini wapo atakusaidia

Nitaomba maelekezo ya kumpa alale kabisa mkuu. Mpaka baadae ndio aamke
 
Back
Top Bottom