Hio wataalam wa TBA waliita Ni Expansion Joint.
Lenta sikuweka!Lakini mbona hata walioweka lenta nyufa zimetokea chini ya dirisha!!!Pia kinachonichanganya hivyo ni viwanja vya kupimwa vya serikaliHiyo nyumba juu ya dirisha ulisuka lenta?
Nimechunguza kwa haraka harska naona vitu hivi;Sawa,sasa nini kifanyike?
Kitaalam unapaswa kuweka lenta juu ya msingi na juu ya ukuta yaani wallingLenta sikuweka!Lakini mbona hata walioweka lenta nyufa zimetokea chini ya dirisha!!!Pia kinachonichanganya hivyo ni viwanja vya kupimwa vya serikali
Hamna huoni hilo korongo?Hiyo nyumba juu ya dirisha ulisuka lenta?
Utagombana na atakaye rekebisha tu umejenga hovyo sana toka msingi mpaka lenta hakuna. Kama eneo lina matetemeko mengi bado unafanya mambo hovyo hovyo ? Bomoa jenga vizuriWanajf ninaomba ushauri wa haraka wa nini kifanyike kwani kuta za kakibanda kangu kaliopo Katavi mahali ambapo matetemeko makubwa ya ardhi mithili ya mabomu yanapita Mara kwa Mara zimetoa nyufa nyingi!Nyufa zinaanzia chini na kuishia dirishani,zingine zimepitiliza!Nimeambatanisha na
View attachment 2322864View attachment 2322866View attachment 2322867View attachment 2322869
Duh!Sasa nini kifanyike?Mbona nimechanganyikiwaNimechunguza kwa haraka harska naona vitu hivi;
1. Hujaweka prince beam yaani nondo kwenye msingi.
2. Hujaweka beam/lenta tofali zimepanda hadi juu tu.
Huu ni ujenzi hafifu sana ulifaa uombe ushauri kabla ya kujenga.
Ungeweka beam ningekushauri uweke chicken wire then upige plasta upya ungekomesha hizo nyufa
Ita fundi uzungumze naye, kuna sehemu wataweka nondo na waya mesh
Hii ndio hasara ya Ujenzi wa JF wa kuulizana nina milioni 5 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu? Na watu wanashabikia inawezekana.Nimechunguza kwa haraka harska naona vitu hivi;
1. Hujaweka prince beam yaani nondo kwenye msingi.
2. Hujaweka beam/lenta tofali zimepanda hadi juu tu.
Huu ni ujenzi hafifu sana ulifaa uombe ushauri kabla ya kujenga.
Ungeweka beam ningekushauri uweke chicken wire then upige plasta upya ungekomesha hizo nyufa
Chumba Cha 12ft x 12ftHivi gharama ya Plasta hua Fundi analipwaje lipwaje????
Hapana Mimi nilijenga haraka haraka,nilisumbuliwa sana nilikokuwa nimekaa miaka ya 2014 nilipokuwa Katavi.Kinachonipata Mimi kimewapata hadi jirani zangu.Ninaomba mnisaidie cha kufanya kwani Nina hali ngumu hata kihisia mawazo ni mengiHii ndio hasara ya Ujenzi wa JF wa kuulizana nina milioni 5 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu? Na watu wanashabikia inawezekana.