Mbute na chai
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 564
- 593
Shida sio tetemeko kinachotakiwa ni kujenga msingi wenye uwezo wa kuhili hayo matetemeko swali ni je mtaalamu aliyemtumia (if at all yupo) alimshauri nini juu ya ujenzi wa nyumba kwenye eneo lenye tetemeko?Pole, itakuwa njia ya tetemeko, angalia tu kuhama au tafuta mtu umuuzie mbuzi kwenye gunia
Nashukuru kwa ushauri nitaufanyia kazi 🙏
Nje je?Chumba Cha 12ft x 12ft
Kuta nne za ndani Ni elfu 50
Sakafu ya chini Ni elfu 20
Nashukuru kwa maoni mazuri!Nitayafanyia kazi!Umeuliza maswali mazito sana ambayo sidhani Kama watanzania tulio wengi huyafikiria kabla ya ujenziKabla hujaanza ujenzi unatakiwa ufanye vipimo vya udongo je wewe ulifanya?
Ujenzi unasimamiwa na mainjinia je wewe uliajiri injinia asimamie kazi?
Je kwasababu uko eneo lenye tetemeko la ardhi ulikumbuka kulifikiria hili kabla hujaanza ujenzi wa msingi?
===
Tunakimbia gharama za kutumia wataalam alafu ela ambayo ingetumika kulipa mtaalam ndiyo inatumika kuziba ufa.
nyumba inaonekana hata renta hukufunga, kama ulimpa mtu kukujengea umepigwa na kama ulijenga mwenyewe ulijenga chini ya viwango kabisa. Hapo nadhani angalia tu uwezakano wa kuvunja uanze upyaWanajf ninaomba ushauri wa haraka wa nini kifanyike kwani kuta za kakibanda kangu kaliopo Katavi mahali ambapo matetemeko makubwa ya ardhi mithili ya mabomu yanapita Mara kwa Mara zimetoa nyufa nyingi!Nyufa zinaanzia chini na kuishia dirishani,zingine zimepitiliza!Nimeambatanisha na
View attachment 2322864View attachment 2322866View attachment 2322867View attachment 2322869
Naomba mwongozo kuhusu hilo mkuu,maana wengi hapa JF wananiambia nivunje nyumba yote nijenge upya,nami kipato kimegoma.Kuna nyufa nilihangaika sana, mafundi kama 10 hivi alikuja kuimaliza mfundi mmoja wa Njombe haijawahi kurudi!!
Wengine woote walishindwa,
Nitakupa Namba yake akusaidieNaomba mwongozo kuhusu hilo mkuu,maana wengi hapa JF wananiambia nivunje nyumba yote nijenge upya,nami kipato kimegoma.
Pole sana ndugu,nam n mkazi wa katavi mwenzio,Wanajf ninaomba ushauri wa haraka wa nini kifanyike kwani kuta za kakibanda kangu kaliopo Katavi mahali ambapo matetemeko makubwa ya ardhi mithili ya mabomu yanapita Mara kwa Mara zimetoa nyufa nyingi!Nyufa zinaanzia chini na kuishia dirishani,zingine zimepitiliza!Nimeambatanisha na
View attachment 2322864View attachment 2322866View attachment 2322867View attachment 2322869
Asante sana kwa ushauri!Nitaufanyia kazi!Lakini kwa hapo ilipofika hasa kwenye milango na madirisha namna gani nikifumua tofari za juu na kumwaga lenta juu ya milango na madirisha haiwezi kusaidia?Huku nikijipanga kwa ujenzi mkubwa?Pole sana ndugu,nam n mkazi wa katavi mwenzio,
Iko hv unapotaka jengo lako lisiwe na shida km hzo n kufata ujenzi wa kisasa na kitaalam,
1.Ukichimba msingi,mwaga zege hafifu jpo la nch 3 au 4,hii inasaidia km utajenga kuta za msingi either n tofali choma,block au mawe yabebe mzigo sawa kote kupeleka chini,hii huzuia irregular settlement ya jengo hvyo nyufa hazitotokea
2.Ukifika level ya plinth yaan ushamaliza kuta za msingi unataka umwage zege la jamvi au usimamishe tofali za kuta hapo unaweka beam(plinth beam) japo ni optional(sio lazima),hii beam huzuia nyufa kutokea kuta za msingi zisipande ktk kuta za juu.
3.Hili la 3 ndo mwiba kwa wengi wanaojenga vijijin,hasa wanaotumia tofali choma,hawaweki ring beam au linta,hii n lazima tu ugongwe na nyufa au tofali kuanguka tetemeko likitokea.
Kutibu nyufa
Kuna nyufa zilizoanzia chini ya msingi,yaan nyufa za tofali za msingi,hizo kutibu labda ubomoe kipande chenye shida ujenge upya
Kuna nyufa zilizo ktk plasta hiz n rahis sana kutibika
NB:- Tuache kujenga kiholela,nyumba ni sehemu ya kulala pia inaweza kukulalia ukafa.
Itasaidia,fanya hvyoAsante sana kwa ushauri!Nitaufanyia kazi!Lakini kwa hapo ilipofika hasa kwenye milango na madirisha namna gani nikifumua tofari za juu na kumwaga lenta juu ya milango na madirisha haiwezi kusaidia?Huku nikijipanga kwa ujenzi mkubwa?
Aisee pole sana. Hasara hiyoooo...Wanajf ninaomba ushauri wa haraka wa nini kifanyike kwani kuta za kakibanda kangu kaliopo Katavi mahali ambapo matetemeko makubwa ya ardhi mithili ya mabomu yanapita Mara kwa Mara zimetoa nyufa nyingi!Nyufa zinaanzia chini na kuishia dirishani,zingine zimepitiliza!Nimeambatanisha na
View attachment 2322864View attachment 2322866View attachment 2322867View attachment 2322869
Hapana Mimi nilijenga haraka haraka,nilisumbuliwa sana nilikokuwa nimekaa miaka ya 2014 nilipokuwa Katavi.Kinachonipata Mimi kimewapata hadi jirani zangu.Ninaomba mnisaidie cha kufanya kwani Nina hali ngumu hata kihisia mawazo ni
Tatizo wengi wanadai nyumba yote ivunjwe nianze upya,nami kwa sasa hali imeyumba kidogo!Nyumba imeanza kutoa nyufa mwenye milango na madirisha,hivi nikifumua tofari sehemu hizo na kuzipiga lenta inaweza kusaidia hata kidogo?Umunyu pole sana. Fata ushauri unaotolewa ulioko ndani ya uwezo wako.
Chuka bhilalula.
Asante kwa ushauri nitaufanyia kaziAisee pole sana. Hasara hiyoooo...
Mimi sina utalaam wa ujenzi akini naweza kusema hizo craks zimetokama na msingi haukuwa imara na ujenzi wake uko kwnye udongo wa kutitia.
Nini Cha kufanya.: Inabidi upande huo ulio athirika ubomolewe hadi levo ya msingi then juu ya hapo ipigwe Reinforcement( mfano wa Slab ya Renta) ndipo juu yake ukuta upandishwe