Msaada wa haraka: Mke wangu tumegombana usiku, asubuhi hii anatafuta utaratibu wa talaka tugawane mali

Nenda ukaombewe na watumishi wa kiroho ili dawa uliyolishwa iishenvuvu.


Unaishi na asiyekupenda. Muache aende zake acha uoga wa kuanza upya.

Tatizo hautanielewa hadi dawa ikutoke
Pole mkuu kama utazidi kumchekea nakuahidi utaishi maisha ya kuwa mtumwa wake fanya maaamzi magumu ili iwe funzo kwake wanawake wana tabia ya kutupima sisi wamaume ukilegeza uzi tu umeisha utateseka maisha yote anatikisa kibirit aone kama kimejaaa sasa we legea na utie tie huruma uone mpe nauli fasta aende kwao hata leo hii pia mwambie kama yuko serious aense mhakamani mpe taraka asepe kuanza upya sio ujinga ww sio wa kwanza
 
Hebu zingatia hii sentence!
Wakuu Naomba mnipe mbinu maana tukigawana ndio mwisho wa kuona humu jf maisha yangu yatakua magumu sana,
Bro nakubali sana. Naona wazi unajua uhalisia wa maisha ni nini na kuna hitajika nini.

Kumshauri mtu katika hekima ni jambo zuri sana.

Na sio kuzungumza tu pasi na upeo wa kufikiri juu ya ulicho ambiwa au kukisikia.

Naona hii quote yako kwa baadhi ya wadau ukiwakumbusha kwa hekima sana kwa mwenye akili.
 
Mlangp mmoja ukijifunga mingine hufunguka.
Hubu mwache afunge mlango alafu tuone huo utakaofunguka utakuwaje
 
Nakumbuka maneno ya marehemu mzee wangu....aliniasa kuwa mwanamke akitamka kuwa anataka kukuacha usiwaza mara mbili yaani muda huo huo mpe chake asepe....ama sivyo utakufa wewe ....tafari why wajane ni wengi kuliko kawaida....halafu leta jibu.
 
Dada, shukuru Mungu una mwanaume anayejielewa, nasema tena shukuru Mungu una mwanaume anayejielewa
Hili nalo neno. Ukipata asiejielewa unakuwa mzigo. Maana unatakiwa usiongee huku makwazo yanamiminika. Nadhani yeye ni mwana maombi..na kuna neema ya Mungu ipo ndani ya nyumba yake ndo maana hana kelele na mume nae anajielewa. We need Grace of the Lord sana..katika nyumba zetu.
 
Je kama naupande wa pili ingekua nilivyoeleza ungeshauli nini , maana naona anamahaba ya kuondoka na watoto
Kisheria ana haki ya kukaa na watoto na kisheria una haki ya kwenda kuwaona watoto kuwasalimia, kuwahudumia na kufahamu mazingira wanayoishi
 
Mzee huyo mwanamke kwanini anakuletea kiburi hivyo??hapo kuna mawili moja amekuchoka sema anashindwa kukuambia,pili ana mwanaume mwingine ndo maana anakuchukulia powa,cha msingi muite chini mpe maneno ya haja lazima atulie tu
 
Achana naye huyo jamaa ni marioo tu, na huyo mke wake ameshachoka kulea jitu kubwa lenye ndevu zenye mvi.

hajiamni huyo kwani wakigawana mke atachukua duka lote, hilo ni popoma tu, hakuna mwanaume hapo.

Bro Unafanya biashara?
Mimi nafanya biashara.
Mzee biashara ikiwa juu halafu eti mtu aje kuipunguza kiasi INAUMA SANAAA.

Kuna kipindi niliibiwa (Wezi walivunja duka) wakaiba bidhaa za Mil 1 na laki 9 aisee NILIDATA.

Sikwenda kazini wiki nzimaa najifungia ndani nalia mwenyewe.

Hivi unajua uchungu wa kupoteza ukubwa wa biashara wewe?

#YNWA
 

Biashara ikiendeshwa na familia huku mnaelewana.
Biashara hukua sanaaa

#YNWA
 
Aise ugomvi wa mme na mke mtu mwingine kuuamua ni ngumu! Mimi nafikiri wasiliana na wazazi wake uwaeleze mkasa harafu uone watakusaidiaje.
 
Limekuja wazo niseme tunadaiwa nipunguze baadhi ya mali
Upunguze Mali za nini mpe nauli aende wala usimfuate akitaka talaka mwambie yeye ndo akashitaki kua anataka talaka, ukiona kaenda kushitaki kweli, hamisha duka simple bakiza bidhaa chache sana za mtaji wa laki 50000 tu
 
Hakuna kumuacha huyo mwambie atulie tu muhimu wewe keep distance jipe kasafari hata ka siku mbili hivi katafute hata guest ukodi siku mbili usipokee simu yake. Atakaa sawa, utaacha wangapi wote wapo hivyo.
Next time usimpige asitafute sababu, hao midomo michafu huwa wanaelewa baada ya kuachika.
Akikaa SAwa Pambana utafute biashara nyingine au ufungue dukani jingine mwachie hilo mkutane jioni nyumbani. Hapo kuna agent keshaingi Ili muachane watoto wapate tabu.
 
Ukirudi home akilazimisha nauli mpe KISHA usimfate wala kumpigia simu siku akiondoka tu nunua chupi na nguo za kike zianike nje KISHA tafuta shoga yake azipige picha amtumie amwambie baba fulani keshaingizza chombo ingine huku
 
Mkiambiwa usiowe mnaona tunawanyima michango ya harusi ona sana kihama kilichokukuta
 
Pole sana.
Changamoto za ndoa ni za aina nyingi. Rejea Mfano wa Uzi wa Mwenzetu mmoja kwa jina la DeepPond. Kaa nae Shemeji (Yataka Moyo wanakuwaga Wabishi sana lkn kama Baba Jiandae) muelimishane zaidi namna ya kukua na kukomaa kimaisha kupitia biashara yenu.

Nianavyo, Hapo siyokwamba aliwazidishia kwa bahati mbaya, tafsiri yangu binafsi ya hilo picha ni kwamba Mzigo ukishapita Maza huwafuata kwa nyuma kiaina na kuwadai madai ambayo huingia kwenye akaunti yake binafsi siyo ya Mradi huo wa Duka. Kumbuka kwamba katika suala la mali ama fedha, hawa Mama zetu tamaa huwavamia kwa kasi sana ya kuwa na umiliki binafsi siyo wa pamoja tena! Sasa kama utakuwa na hasira, mtapalangana kila uchao.
 
Ikitokea siku mwanamke akatamka"tuachane" "nipe talaka yangu" "tugawane mali" au "kabeba vitu"vyake na kuondoka.
Usijaribu tena kutafuta suruhu ya kuishi na mtu huyo.
wengi wana kuna na akili ya kushikiliwa na watu wa nje-mwanaume au ndugu zake.
Anacho fanya ni kutafuta tukio dogo kama chanzo cha kutengana!
Tafuta usawa mwingine.
Jifikirie hatima yako wewe kwanza kisha watoto. Usibakie kwenye mahusiano yasio faa eti kwa sbb ya watoto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…