Msaada wa haraka: Mke wangu tumegombana usiku, asubuhi hii anatafuta utaratibu wa talaka tugawane mali

We.mwanaume umaskini unakusumbua...elfu hamsin ndio unafuatilia mpk keroooo,tafuta kwanza hela brooooo ukipata tutakuambia Cha kufanyaaa
Ebenezer siri ya mafanikio ni kuheshimu pesa sasa wewe kwako 50000 waona ndogo eeh huenda bado unakula kwa mama
 
Noo huyu mkewe inaonekana ana vitu vingi kavitunza moyoni ndio maana ile kaulo ya kusema leo ndo mwisho wa ndoa hawezi kusema mwisho wa ndoa kwa kikosa hiki tu, hawa ndani ya nyumba kutakua na chokochoko nyingi ambazo huwa hazisolviki
Kwakifupi jamaa inaone Kana Nimtu asiye puuzia hata vidogo tabia hii inamkera mkewe

Mke Ana amini wanacho kitafta nicha kwao wote nahata yeye Ana mamlaka juu ya kile wanacho miliki lakini yeye jamaa Ana amini kila kitu nichakwake nayeye ndiyo mwenye mamlaka

Hili Jambo linamkela mkewe Ana hisi Hana mamlaka juu ya Mali zao ambazo pengine Ana mchango mkubwanLakini mume haupi kipaumbele mchango wa mkewe
na

huenda tatizo hili nila mda mlefu Kama usemavyo lakini mke bado Ana mpenda mume chamsingi warekebishe tofauti zao ndogo ndogo
 
Mbembeleze taratibu jishushe, alafu umtomb€€€€€ weee uuuhh vizuri kabisa, kesi inaisha na hutasikia anataka kuondoka au talaka, atakulalia kifuani na mpige cha pili, ataacha kabisa kiburi au dharau, matatizo mengine hamuwatomb1 vizuri wake zenu, alafu mnatuletea matatizo kwenye jamii na watoto wanaanza pata shida, mpe mapenzi ya moto moto, kelele zote kwisha. Nyie vijana mnaokutana tu sijui Facebook au mitandaoni ni shida sana.
 
Na hizo mali ulishamwonyesha zote?
Niliachana na mke wangu miradi yangu mingi nikaiweka chini ya kampuni "Sole" ambayo niliifungua kabla sijamuoa, tukaishi nae miaka sita vitu vingi naviweka chini ya kampuni alipokuja kudai talaka akaambulia nyumba moja na vitu vyote vilivyokuwa chini ya Kampuni vikapona imiwemo biashara ambazo alizikuta, nyumba na maghala na mtaji. Na mali kibao nilizificha kwa ndugu alikuwa hazijui ila nyumba niliyomjengea "ya kishikaji" niliona nimwachie akae na watoto wake yaani ni ya watoto. Vitu vya ndani vyote alichukua na gari moja ikauzwa na biashara moja niliyomfungulia ikapigwa panga mtaji tukagawana, shamba moja nilinunua alime na kufuga likauzwa, ila niliokoa zaidi ya 80% ya mali zangu na mtaji ambazo nilikuwa nimezificha kupitia kampuni na ndugu hasa mshua.

Ishi na mwanamke uliemuoa kwa ndoa kwa akili, usijisahau ukafikiri hakuna kesho. Wenzetu wakienda Mahakamani basi wanapewa uzito sana na sheria zetu, ningeshakuwa masikini maana ilikuwa pasu kwa pasu, 50:50 kila kitu.
Usiombe mke wa ndoa akupeleke mahakamani na talaka iamuliwe unafilisika dakika chache tuu na mali zako wanaenda kula watakao mgegeda baada ya yako.
Vitu vikiwa chini ya kampuni ndo huwezi kugawana na mke?

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu Niseme Tu Kila Kukicha Na Makucha Yake, Leo Tena Kumekucha Sio Siku Nzuri Kwaupande Wangu.

Naenda kuelezea...

Tumegombana na mkewangu usiku wa jana na akasema leo ndio mwisho wa ndoa yetu anaenda kufatilia nimpe talaka tuachane.

Kisa cha ugomvi ni kutoka kwenye biashara yetu tulipata rosi tukiwa wote kibandani tulipata wateja wa vifaa vya shule tukawauzia katka kuwafungia mzigo wife akawazidishia vyenye samani ya sh.50000/=.

Kwakua sikuwakalili vizuri rakn shule wanayosomea hao wateja naijua na vifaa kama mabegi ya mgongoni ikabidi jana j3 asubuhi nijaribu bahati yangu niende shule kufatilia rakn sikufanikiwa nikarudi nyumbani.

Badae Jioni saa kumi sikuepo kibandani nikapigiwa simu na mkewangu ananiambia wale watu tuliowazidishia mzgo amewaona na ameongea nao wamesema watarudisha ikabidi niende haraka kazini.

Nafika namuuliza wanasomea shule gani na wamekupa majina yao na wanaishi maeneo gani, Mkewangu anakuaga na mdomo mchafu , jibu nililojibiwa naambiwa ooh ningejua nisinge kuambia maana maswali yamekua mengi.

Akasema ameshawakalili nikamwambia wasipoleta atafatilia kwakua yeye ameshawakalili akasema hawezi hata kwa dawa, nkamwambia wife hii hela tunayotafuta sio kwa manufaa yangu binafsi kwanini unashindwa kunielewa Kanuna kaenda nyumbani.

Nmefka nyumbani hajapika saa3 watoto wamelala njaa aseee nilipiga vibao nikamlazimisha kupika Tukala hakula yeye akasema lazma hii kesi tuachane et tugawane kila kitu kumekucha asubuhi ananiomba nauri aende kwetu et akawaeleze ili afatilie swala la talaka tugawane mali.

Nimemwambia sikupi nauli kuchezea hela kwamaana sioni kosa la kuachana we kaa tulia haelewi, Wakuu Naomba mnipe mbinu maana tukigawana ndio mwisho wa kuona humu jf maisha yangu yatakua magumu sana, shemeji yenu nimezaa nae watoto wawili miaka 3_5.

Nisiwachoshe.

Exalioth yuda
jf_geita
Piga tena atakaa vizuri maana kuna junction inayounganisha ubongo wa mbele na ubongo wa kati imelegea kidogo baada ya kumpiga usiku ila ukimpiga vizuri tena ngumi sugunyo itasaidia kutight the junction na atatulia.
Kama ngumi sugunyo haitasaidia fanya juu chini upate chance ya kumtomba tena mshughulikie kisawasawa hakika hawezi tena kumbuka talaka wala nauli ya kwenda kusalimia wazazi
 
Vitu vikiwa chini ya kampuni ndo huwezi kugawana na mke?

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Soma vizuri andiko langu. Kampuni aliikuta, mfano umeoa mwaka 2023 kampuni amesajili 2021. Hata kama kuna ongezeko la mtaji,mali na madeni ya kampuni hayatamhusu mtalaka. Kifupi ni kwamba vitu alivyovikuta mke au mume havitamhusu kwenye talaka hata kama viliongezeka akiwepo.
 
Rosi ndio nini jaman?!
Pole kwa yaliyotokea usimpe chochote atachechetuka huko weeh mwisho atatulia hiv unadhan kulea watoto peke yako kazi nyepesi eeh! Atarudi mwenyew na jeuri yake
 
Wakuu Niseme Tu Kila Kukicha Na Makucha Yake, Leo Tena Kumekucha Sio Siku Nzuri Kwaupande Wangu.

Naenda kuelezea...

Tumegombana na mkewangu usiku wa jana na akasema leo ndio mwisho wa ndoa yetu anaenda kufatilia nimpe talaka tuachane.

Kisa cha ugomvi ni kutoka kwenye biashara yetu tulipata rosi tukiwa wote kibandani tulipata wateja wa vifaa vya shule tukawauzia katka kuwafungia mzigo wife akawazidishia vyenye samani ya sh.50000/=.

Kwakua sikuwakalili vizuri rakn shule wanayosomea hao wateja naijua na vifaa kama mabegi ya mgongoni ikabidi jana j3 asubuhi nijaribu bahati yangu niende shule kufatilia rakn sikufanikiwa nikarudi nyumbani.

Badae Jioni saa kumi sikuepo kibandani nikapigiwa simu na mkewangu ananiambia wale watu tuliowazidishia mzgo amewaona na ameongea nao wamesema watarudisha ikabidi niende haraka kazini.

Nafika namuuliza wanasomea shule gani na wamekupa majina yao na wanaishi maeneo gani, Mkewangu anakuaga na mdomo mchafu , jibu nililojibiwa naambiwa ooh ningejua nisinge kuambia maana maswali yamekua mengi.

Akasema ameshawakalili nikamwambia wasipoleta atafatilia kwakua yeye ameshawakalili akasema hawezi hata kwa dawa, nkamwambia wife hii hela tunayotafuta sio kwa manufaa yangu binafsi kwanini unashindwa kunielewa Kanuna kaenda nyumbani.

Nmefka nyumbani hajapika saa3 watoto wamelala njaa aseee nilipiga vibao nikamlazimisha kupika Tukala hakula yeye akasema lazma hii kesi tuachane et tugawane kila kitu kumekucha asubuhi ananiomba nauri aende kwetu et akawaeleze ili afatilie swala la talaka tugawane mali.

Nimemwambia sikupi nauli kuchezea hela kwamaana sioni kosa la kuachana we kaa tulia haelewi, Wakuu Naomba mnipe mbinu maana tukigawana ndio mwisho wa kuona humu jf maisha yangu yatakua magumu sana, shemeji yenu nimezaa nae watoto wawili miaka 3_5.

Nisiwachoshe.

Exalioth yuda
jf_geita
Amekujua wewe muoga sana na siyo shujaa .
 
Mbembeleze taratibu jishushe, alafu umtomb€€€€€ weee uuuhh vizuri kabisa, kesi inaisha na hutasikia anataka kuondoka au talaka, atakulalia kifuani na mpige cha pili, ataacha kabisa kiburi au dharau, matatizo mengine hamuwatomb1 vizuri wake zenu, alafu mnatuletea matatizo kwenye jamii na watoto wanaanza pata shida, mpe mapenzi ya moto moto, kelele zote kwisha. Nyie vijana mnaokutana tu sijui Facebook au mitandaoni ni shida sana.
Ukioa sugu je utaweza jaza shimo
 
Na hizo mali ulishamwonyesha zote?
Niliachana na mke wangu miradi yangu mingi nikaiweka chini ya kampuni "Sole" ambayo niliifungua kabla sijamuoa, tukaishi nae miaka sita vitu vingi naviweka chini ya kampuni alipokuja kudai talaka akaambulia nyumba moja na vitu vyote vilivyokuwa chini ya Kampuni vikapona imiwemo biashara ambazo alizikuta, nyumba na maghala na mtaji. Na mali kibao nilizificha kwa ndugu alikuwa hazijui ila nyumba niliyomjengea "ya kishikaji" niliona nimwachie akae na watoto wake yaani ni ya watoto. Vitu vya ndani vyote alichukua na gari moja ikauzwa na biashara moja niliyomfungulia ikapigwa panga mtaji tukagawana, shamba moja nilinunua alime na kufuga likauzwa, ila niliokoa zaidi ya 80% ya mali zangu na mtaji ambazo nilikuwa nimezificha kupitia kampuni na ndugu hasa mshua.

Ishi na mwanamke uliemuoa kwa ndoa kwa akili, usijisahau ukafikiri hakuna kesho. Wenzetu wakienda Mahakamani basi wanapewa uzito sana na sheria zetu, ningeshakuwa masikini maana ilikuwa pasu kwa pasu, 50:50 kila kitu.
Usiombe mke wa ndoa akupeleke mahakamani na talaka iamuliwe unafilisika dakika chache tuu na mali zako wanaenda kula watakao mgegeda baada ya yako.
Nikweili, lakini nawashangaa wanawake wakiZanzibar wao wakipewa talaka awadai mali wanaondoka na vitu walivyo kuja navyo na kurudi kwa wazazi kusubiri mwanaume atokee aolewe tena, niliishi Zanzibar miaka zaidi ya 3 sijwai kuona wala kusikia mwanamke wa kizanzibari akifungua kesi za kudai mgawanyo wa mali ata awe kaolewa na tajiri siku akiachwa anarudi kwao wala awana habari za kudai mali.
 
Hiyo game iliandaliwa ndugu Cha msingi Wewe mwambie sipo tayali tuachane bado unampenda

Msimamo wako uwe huo mpaka mahakamani Aki force mahakama itampa taraka lakini Mali Hari ruhusiwa kuzigusa

[emoji117]Mwanamke anaye taka kukupiga chini hakuombi nauli mkuu
[emoji117]Mwanamke anaye taka muachane hawezi kufkia kwenu mkuu
[emoji117]Bado anakupenda ispo kuwa anataka usahau lile Deni la 50000/= Kisha uanze kuwaza kupihwa taraka.

naweza kusema Ana kubadilishia topic kutoka A kwenda B

CHAKUFANYA MWAMBIE NAULI NTAKUPA NGOJA SAIDI ANILETEE HELA NNAYO MDAI

baada ya hapo endelea na Mambo yako Ila hakikisha chakula ndani kipo majinyapo na umeme upo

HAKUNA SHUJAA MBELE YA NJAA MKUU
Pesa atakuwa kaipiga yeye huyo mwanamke kiujanja kwaiyo anataka kupoteza kesi kwa kuanzisha kesi juu ya kesi ili pesa izimwe
 
Wanawake wakikaa kwny vikundi vikundi wanashauriana Ujinga Sana, Happ wanadhan wanamkomesha mwanaume kumbe wanajikomesha
Nikwelj wazazi wetu walidumu kwenye ndoa kwasababu walikuwa awana vikundi vikundi walikuwa muda mwingi wapo kwenye familia
 
Nikweili, lakini nawashangaa wanawake wakiZanzibar wao wakipewa talaka awadai mali wanaondoka na vitu walivyo kuja navyo na kurudi kwa wazazi kusubiri mwanaume atokee aolewe tena, niliishi Zanzibar miaka zaidi ya 3 sijwai kuona wala kusikia mwanamke wa kizanzibari akifungua kesi za kudai mgawanyo wa mali ata awe kaolewa na tajiri siku akiachwa anarudi kwao wala awana habari za kudai mali.
Sahii kabisa,
Hili Nna ushahid nalo,
Wanawake wa z'bar hawana tamaa ya mali
 
Back
Top Bottom