Uncle Mabiki
Member
- Sep 22, 2018
- 77
- 77
Sawaa shukraniKesho
Duh Kweli Bongo Nyoso,yaani taratibu zote zimeisha imebaki muhasibu kuclick tu button ya Laptop ndani ya dakika 3 muhamala usome watu wanangojea mwaka😮💨Mambo ya mirathi hayanaga uharaka, sijui kwa nini!...Hata miye ndugu yangu kafuatilia kakwamia hapo; wakasema mfumo haufanyi kazi mpaka mwaka mpya wa fedha wa serikali. Leo tunakaribia kumaliza robo mwaka!
Wafungulie kesi hapohapo mahakamani kwa kuchelewesha malipo yako na uwadai fidia ya usumbufu, siku nyingine hawatarudia ujinga wao!!Duh Kweli Bongo Nyoso,yaani taratibu zote zimeisha imebaki muhasibu kuclick tu button ya Laptop ndani ya dakika 3 muhamala usome watu wanangojea mwaka[emoji50][emoji100]
Duh Kweli Bongo Nyoso,yaani taratibu zote zimeisha imebaki muhasibu kuclick tu button ya Laptop ndani ya dakika 3 muhamala usome watu wanangojea mwaka😮💨
Wafungulie kesi hapohapo mahakamani kwa kuchelewesha malipo yako na uwadai fidia ya usumbufu, siku nyingine hawatarudia ujinga wao!!
Miezi 6,mbona muda mrefu sanasio rahisi kama unavyosema, mara nyingi wenye power ya kuprocess na kulipa hizo pesa wanakuwa ni mahakama za juu, tofauti na mirathi iliposikilizwa
😃😃😃Duh Kweli Bongo Nyoso,yaani taratibu zote zimeisha imebaki muhasibu kuclick tu button ya Laptop ndani ya dakika 3 muhamala usome watu wanangojea mwaka😮💨
Mwaka mpya wa fedha umeanza tarehe Moja mwezi wa sabaMambo ya mirathi hayanaga uharaka, sijui kwa nini!...Hata miye ndugu yangu kafuatilia kakwamia hapo; wakasema mfumo haufanyi kazi mpaka mwaka mpya wa fedha wa serikali. Leo tunakaribia kumaliza robo mwaka!
Ndiyo wasubiri tena hadi mwakani mwezi wa.saba mwaka mpya wa fedha ukianza tena!!Mwaka mpya wa fedha umeanza tarehe Moja mwezi wa saba
Vipi mlifanikiwa?? Nataka nianze mchakato hapa wa mirathi,nilijua ni rahisi kwa teknolojia tuliyokuwa nayo!Miezi miwili sasa