Msaada wa haraka tafadhali

Msaada wa haraka tafadhali

Campus

Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
34
Reaction score
10
Wasalaam nyote,
mwenye kujua huduma ya kwanza kabla sijafika hospitali anisaidie.

Kifua kimebana sana ghafla usiku huu,kinauma na siwez hata kuongea sauti ni kama ya kuku mwenye mdondo. Maumivu makali sana ya kifua na ninapumua kwa tabu sana.

Sijawah kuwa na asthma wala hatuna historia hyo kwetu. Ila mimi nishawah kuwa na allergies zikaniletea kitu wanaita rhinnits kama skosei.

wadau msaada wenu na maombi. Kwa hali ilivo nkifika kesho asubuhi ashukuriwe Mungu.
 
Wahi hospitali Mkuu tena haraka sana usiku huu huu, ila kama unaweza kupata hata punje moja ya kitunguu swaumu tafuna kidogo kidogo kama ni heart attack inaweza kusaidia. Pole sana.
 
Pole sana mkuu wahi hospitali

Upate tiba utapona tu

Mungu mkubwa
 
Back
Top Bottom