Msaada wa haraka unahitajika ili ndugu yangu apate haki yake

Mwambie atengeneze scenerio ya Adverse possession ili ionekane alivamia.Asiwatambue hao watoto.Atafute wakili amtengenezee.Ionekane alivamia ,hamjui mmiliki na yuko hapo permanently.
 
Kwani miaka 10 yote kama halipwi Si angeondoka?? Au unamaanisha miezi 10? Hii kesi Ina utata sana.
 
Huyo ndugu yako alikuwa akiendeshaje maisha ya familia kwa miaka 10 bila malipo?...........
 
Mara nyingi wasiotafuta mali huwa na roho za ajabu sana.
Kwani hakuna serikali ya mtaa na kata huko alipo?
 
Mwambie atengeneze scenerio ya Adverse possession ili ionekane alivamia.Asiwatambue hao watoto.Atafute wakili amtengenezee.Ionekane alivamia ,hamjui mmiliki na yuko hapo permanently.
Wewe lazima utakua ndiyo wale Mawakili janjanja,naibia watu!!
 
Achana nae huyo mburula hajui maisha ya shamba ,kwanza anagongea Simu ya shemeji yake yaani mvulana wa dada yake kuingia humu JF
 
Ni wapi nimesema Mimi wakili?
Ni wapi nimeiba au kushauri WIZI.Ni lini na ni wapi nimeongelea WIZI?
Kushauri au kumfundisha Mtu aseme uwongo ili kujimilikisha Mali isiyokua yake hilo ni kosa la Jinai!!
 
Sasa umeshasema ni shamba la mtu, na amekuwa akilima bure ilihali wenzake wanakodishiwa mashamba, kwa miaka 10, sasa hiyo pesa aliyovuna kwenye shamba la watu na yeye akanunue lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…