Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Ila ni chombo haswa haswa hujawahi kummega kweli?Habari wanajamvi
Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu
Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
Sasa mtu wa msamvu akusaidiaje..?Yan mtu aliepo hata hapo msamvu anisaidie kabla hajaenda mbali
Gimbi aliekuzaaila jf ya sasa imejaa upuuzi mwingi... Ona kama hili gimbi hapa
Acheni masihara wapendwa kwa yeyote atayemuona naomba anijulisheNguo zenyewe zilikua zimeshachakaa zile fanya ununue nyingine tu..
Tatizo kafanya uhalifu si dhani kama alikua anashida kiasi cha kuiba,Nguo zenyewe zilikua zimeshachakaa zile fanya ununue nyingine tu..
Yan atakae kuwa na hyo binti amuangalie kwa makingTatizo kafanya uhalifu si dhani kama alikua anashida kiasi cha kuiba,
Consoleader constantineJina lake Nani?
Police wametuambia tumtafute wenyewe kwanza..ndo mana naomba msaada yan sina jinsi naweza mpata mji mkubwa huu.ushauri wenu unahitajikaConsoleader constantine
Unataka msaada wa kutafuta mtu au begi la ndugu yako?Habari wanajamvi
Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu
Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
We pimbi kweli sasa tuchupi chupi kuibiwa unakuja kulia lia humu, pumbavvvvvvvvvvPolice wametuambia tumtafute wenyewe kwanza..ndo mana naomba msaada yan sina jinsi naweza mpata mji mkubwa huu.ushauri wenu unahitajika
Kimya weweee unaleta mistari ya kwenye kanga hapa?? Kifupi wewe ni pumbavvvvvvvvvvJiheshimu kaka sikufaham hunifaham na hujui maisha yangu na hujui nayo pitia
Ndugu yangu hii pisi itakuwa imechukuliwa na masela wa hapo mtaani. Kikulacho ki nguoni mwako. Usisumbuke kwenda mbali. Fanya uchunguzi hapo hapo mtaani kuna mahali amebana anadinywa na lisela limoja hivi.Habari wanajamvi
Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu
Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
pisi kali kabisa ya kuweka ndani
Nilipaniki sana asubuhi nilitamani akamatwe kabla hajafika mbaliNdugu yangu hii pisi itakuwa imechukuliwa na masela wa hapo mtaani. Kikulacho ki nguoni mwako. Usisumbuke kwenda mbali. Fanya uchunguzi hapo hapo mtaani kuna mahali amebana anadinywa na lisela limoja hivi.
Upelelezi wako uanzie hapo dukani kwa Muha au Mangi alipokuwa akinunua mahitaji ya nyumbani. Nimeibiwa sana wasichana na masela wa mtaani kwa mtindo huu.
Ni pisi kweli kweli na n mcha Mungu lakini ndo hvyo anatabia mbaya sana ya udokoziUnataka umtoroshe tena. Ebooh
Ni pisi kweli kweli na n mcha Mungu lakini ndo hvyo anatabia mbaya sana ya udokozi
Pole sana mkuu. Hebu jaribu kuwasiliana na ndugu zake uone kama amewasiliana nao kabla ya kuti.mkaNilipaniki sana asubuhi nilitamani akamatwe kabla hajafika mbali
Mkuu pamoja na yote pole sana, watu tumeumbwa tofauti sisi ni binadamu ni kazi sana, si unaona ata mwenyewe, Natumaini utampataπππ