Msaada wa haraka unahitajika

Msaada wa haraka unahitajika

Habari wanajamvi
Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu
Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
Ila ni chombo haswa haswa hujawahi kummega kweli?
 
Nguo zenyewe zilikua zimeshachakaa zile fanya ununue nyingine tu..
Acheni masihara wapendwa kwa yeyote atayemuona naomba anijulishe
Ameandika barua kasema yupo hapa hapa mjini ifakara
 
Habari wanajamvi
Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu
Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
Ndugu yangu hii pisi itakuwa imechukuliwa na masela wa hapo mtaani. Kikulacho ki nguoni mwako. Usisumbuke kwenda mbali. Fanya uchunguzi hapo hapo mtaani kuna mahali amebana anadinywa na lisela limoja hivi.

Upelelezi wako uanzie hapo dukani kwa Muha au Mangi alipokuwa akinunua mahitaji ya nyumbani. Nimeibiwa sana wasichana na masela wa mtaani kwa mtindo huu.
 
Kama ameiba Hadi vyeti hapo ni kumtafuta,ila kama ni manguo temana nae Mimi binafsi hata mtu akivaa nguo yangu sivai kamwe
 
Ndugu yangu hii pisi itakuwa imechukuliwa na masela wa hapo mtaani. Kikulacho ki nguoni mwako. Usisumbuke kwenda mbali. Fanya uchunguzi hapo hapo mtaani kuna mahali amebana anadinywa na lisela limoja hivi.

Upelelezi wako uanzie hapo dukani kwa Muha au Mangi alipokuwa akinunua mahitaji ya nyumbani. Nimeibiwa sana wasichana na masela wa mtaani kwa mtindo huu.
Nilipaniki sana asubuhi nilitamani akamatwe kabla hajafika mbali
 
Nilipaniki sana asubuhi nilitamani akamatwe kabla hajafika mbali
Pole sana mkuu. Hebu jaribu kuwasiliana na ndugu zake uone kama amewasiliana nao kabla ya kuti.mka
 
Yupo Chako ni Chako Dodoma maybe but sina uhakika ila wamefanana
 
Back
Top Bottom