Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Hujampata tuNi pisi kweli kweli na n mcha Mungu lakini ndo hvyo anatabia mbaya sana ya udokozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujampata tuNi pisi kweli kweli na n mcha Mungu lakini ndo hvyo anatabia mbaya sana ya udokozi
Bado sijampataHujampata tu
Aiwezekani katoka leo alfajiriYupo Chako ni Chako Dodoma maybe but sina uhakika ila wamefanana
Asante mkuu..Yan naendelea kujifunzaMkuu pamoja na yote pole sana, watu tumeumbwa tofauti sisi ni binadamu ni kazi sana, si unaona ata mwenyewe, Natumaini utampata
umemuchoma na bisu la koromelo katikat ya musibaSasa unaomba msaada gani ndugu yangu?
Hilo begi lina vitu vya thamani ama?
Hebu tulia uandike vizuri; na useme unataka msaada wa aina gani.
Na pole kama huyo dada wa kazi mlikuwa hammnyanyapai, kumtesa na hata kutokumlipa mshahara wake. Vinginevyo ni sawa tu!
Tumewasiliano nao lakini hawana taarifa na pia hata hawajali kutoweka kwakePole sana mkuu. Hebu jaribu kuwasiliana na ndugu zake uone kama amewasiliana nao kabla ya kuti.mka
Wejamaa wewe😊😊Kumbe ni Morogoro,
Jaribu kumcheki Afande Sele,yeye yupo Morogoro.
Mkuu relax,acha kupanic,tuliza akili ili ujue unafanyaje,
inaonekana umepanic sana,kitu ambacho kitakuvuruga zaidi tu.
Basi itakuwa kuna kitu hapo mkuu. Au ulikuwa unamnyanyasa?Tumewasiliano nao lakini hawana taarifa na pia hata hawajali kutoweka kwake
Mdada tulikua tunaishi nae vizuri tu tunacheka tunapiga story kama ndugu washkaji .ila kuna vitu vilimshinda (mtoto n special case)...ila km ameshindwa yy angeondoka tu asiguse kitu cha mtu ingekua vizuri zaidiumemuchoma na bisu la koromelo katikat ya musiba
Labda ulikua hujamlipa malipo yake yote ikabidi ajilipe kwa kubeba begi.Mdada tulikua tunaishi nae vizuri tu tunacheka tunapiga story kama ndugu washkaji .ila kuna vitu vilimshinda (mtoto n special case)...ila km ameshindwa yy angeondoka tu asiguse kitu cha mtu ingekua vizuri zaidi
Yan n yule mtoto ambae wazazi hawajali kumuhusu so awepo asiwepo wao haiwashtui ilimradi tu n mtu mzmBasi itakuwa kuna kitu hapo mkuu. Au ulikuwa unamnyanyasa?
Mkuu amelipwa tena kinachoniuma zaidi aliongezewa ela extra ili aweze kushughulikia shida zake lkn ndo hvyo hana shukraniLabda ulikua hujamlipa malipo yake yote ikabidi ajilipe kwa kubeba begi.
Mkuu amelipwa tena kinachoniuma zaidi aliongezewa ela extra ili aweze kushughulikia shida zake lkn ndo hvyo hana shukrani
Du ila watu mna mineno🤣😂🤣Kwa jinsi ulivyoandika huu uzi wako inaonekana wazi kabisa kua huyo mdada wa kazi ameiba pia na akili yako na sio begi tu.
Huyu itakua kuna mtu amemwambia afanye alichokifanya,Mkuu amelipwa tena kinachoniuma zaidi aliongezewa ela extra ili aweze kushughulikia shida zake lkn ndo hvyo hana shukrani
Basi chunguza vizuri huenda rafiki yako wa kiume kapita naye mkuu. Wanaume hawashibi papuchi.😁😁😁Mimi ni mwanamke na tulikua tunaishi ndani wanawake wote