Msaada wa haraka unahitajika

Msaada wa haraka unahitajika

mpaka mtu anatoroka ujue kuna kaunyama mmemtendea

watu wa Dar mna roho mbaya sana
Sio kila anayetoroka anafanyiwa unyama,mkuu WACHA KUKARIRI.
Wasichana hutoroka kwa various reasons;
-Wizi,kama kaona kuna cha thamani anasepa nacho.
-Mimba,kama alipata mimba akiwa kwako aeza toroka.
-Bwana,kama kapata bwana akamzuzua basi atatoroka tu.
Wadada wa kazi wanasumbua sana.
 
Yan hyo ni hatari km vile naona atavyoenda kuliza wengne ..kuna ishara mbaya tuliziona lkn tulichukulia poa
 
Namba zipo lakini hakuna ushirikiano maana wapo mbali hko katoro geita na hapatikani
Pole kipendh.....wasichana wa geita ni wa kuogopwa...ni wezi ,viburi, vihuni balaa...na mara nyingi huwa wanaletwa na madalali

Wasiliana na huyo aliyekuletea , mtoe kitu kidogo atakusomea ramani utampata.
Km kapanda gari atakuwa amerudi kwao
 
Sawa kipendhi
 
Yan n yule mtoto ambae wazazi hawajali kumuhusu so awepo asiwepo wao haiwashtui ilimradi tu n mtu mzm

Ajira ya watoto-Ulimchukua akiwa na umri sahihi?

Elimu kwa wote- Hukumkatisha masomo?

Usafirishaji binadamu- ulimpataje akafika kwako, una ushahidi wa hiari yake?

Sheria za kazi-Una ushahidi wa malipo ya mshahara wake, yalikuwa yanakidhi kima cha chini kwa wafanyakazi wa majumbani?

Angalia kibao kisije kukugeukia wewe.
 
Back
Top Bottom