Msaada wa haraka uume unaleta majanga

Msaada wa haraka uume unaleta majanga

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,658
Reaction score
8,994
Wakuu habari zenu nina jamaa angu anahitaji msaada uume wake kadiri siku zinavoenda unazidi kuwa kubwa anahitaji msaada wa haraka maana ishakuwa tatizo mficha maradhi yatamuumbua.mjumbe hauawi
 
Umepandikizwa sio lake maana asingekuwa na tabasamu hata kidogo
 
mwambie awe anavaa boxer inambana usiku na mchana imbane saaaaaaaaaaana ili isikuwe
 
wacha weee, huu utabibu wa magonjwa ya viungo vya uzazi vya wanaume umeanza lini?

Kweli Mkuu nyakati hizi mara utasikia kunenepesha sehemu nyeti sasa madhara yake ndiyo haya sidhani ikiwa yuko kawaida ukue mpaka uwe tishio. Kule KIGOMA kwa Waha ungesikia Muha akisema WABHONYEE yaani UMEONAEE
 
Back
Top Bottom