Msaada wa haraka wanajamvi....

Msaada wa haraka wanajamvi....

Kchibo

Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
76
Reaction score
11
Wanajamii wenzangu nipo kwenye mchakato wa kuapply kwa ajili ya udahili TCU lakini kuna kitu kinanichanganya kidogo kwasababu naona kuna nafasi 8 za kujaza program unazozikidh mahtaji yake lakini napojaza zaidi ya tano zingine zinajifuta sa naomba kufahamishwa je hazitakiwi kujazwa zote 8? Kwa mwenye uelewa kuhusu hili naomba msaada.
 
Pole sana,hlo tatzo unalozungumzia hata mimi lilinipata nilipokuwa namsaidia rafiki yangu kujaza hizo programs.
Nilijaribu kwenye simu ikanizingua.
Nikaenda internet cafe(wanatumia internet explorer) ikagoma.
Kwa hiyo mtindo ndo ukawa kama huo unaokukumba wewe.Ukitazama lile tangazo lenye maandishi mekundu,baada ya kulogin,wamekuambia ujaribu kutumia browser nyingine kama Operamini,Firefox,Google Chrome nk.
Kwa hyo kama wewe ulikuwa unatumia browser tofauti,jarbu kutumia hzo walizosema.
Pia,jaribu kufanya application zako kwenye computer nyingine,sanasana yenye Firefox ndo haizingui. Hivi ndo nilivyofanikiwa kumjazia yule rafiki yangu.
 
Msafiri, nimeanzia kwenye mozila firefox ikazingua though unaposubmit system inakuambia you have succesfully selected 8 programmes japo zina'display 4 au 5 tu. Internet explorer ya PC haiwezi kabisa kufungua hata programe zenyewe bora hata opera ya simu.
 
The emperor utakua umefanya la maana mkuu, kwani nimejaribu kuangalia hata contact za help centre yao lakini sijaziona sijui walishaziondoa! Sababu CAS ilipofunguliwa in april zilikuwepo.
 
Kama vipi,jaribu kufanya applcations mapema sana asubuhi,au jioni kupunguza jam.Wakati wa mchana web yao inakuwa bze sana! Firefox inatakiwa ikubali,ukiwahi zi-remove zote kwanza alafu uanze kuingiza mojamoja.
 
Back
Top Bottom