Wanajamii wenzangu nipo kwenye mchakato wa kuapply kwa ajili ya udahili TCU lakini kuna kitu kinanichanganya kidogo kwasababu naona kuna nafasi 8 za kujaza program unazozikidh mahtaji yake lakini napojaza zaidi ya tano zingine zinajifuta sa naomba kufahamishwa je hazitakiwi kujazwa zote 8? Kwa mwenye uelewa kuhusu hili naomba msaada.