Msaada wa hii alert katika Land Rover discovery 3

yang

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
733
Reaction score
812
Wakuu Naomba msaada wa kujua Maana ya hii Taa ndogo ya kushoto inawaka red katika dashboard chini ya kisahani Cha rpm.

Nimeigundua leo ina blink red nikiwa ndani na hata nikifunga mlango na ku lock Gari.

Sijajua ni shida gani imetokea sababu haikuwahi kutokea na sijafanya kitu tofauti katika Gari.
Naombeni msaada wakuu.
Hii Taa ni kushoto nilipochora hapo ina blink red

IMG_5243.jpg
 
View attachment 2630396
We relax tu mkuu... Otherwise umeamua kuwapa watu hela wakufixie kitu ambacho bata siyo tatizo.
 
Thanks mkuu
Ni hivo hivo inawaka
Ushamba mzigo wazee
[emoji3] imebidi nitoke nikachukue video na nimpaki tangu mchana!
BTW way hongera sana mzee umepata kitu cha ukweli sana! Ila zingatia sana report ya dashboard kila unapowasha asubuhi.. Na usiwashe na kuondoka subiri usome report yote na silencer ishuke
Kingine ni kuzingatia service.. Tumia certified na recommend lubricants tuu na spare pia.. Vilevile am sure y'all ni ya diesel, usijaze mafuta nje ya vituo ya Total, puma na Engen.. Hao wengine ni try n error.. Mafuta yao si hakika sana
 
Uzuri dashboard inaongea
Ni diesel
Now Nilikuwa natumia puma tu
 
Back
Top Bottom