yang
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 733
- 812
Wakuu Naomba msaada wa kujua Maana ya hii Taa ndogo ya kushoto inawaka red katika dashboard chini ya kisahani Cha rpm.
Nimeigundua leo ina blink red nikiwa ndani na hata nikifunga mlango na ku lock Gari.
Sijajua ni shida gani imetokea sababu haikuwahi kutokea na sijafanya kitu tofauti katika Gari.
Naombeni msaada wakuu.
Hii Taa ni kushoto nilipochora hapo ina blink red