Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Wewe na nagari wapi wapi?[emoji23]Wewe na magari wapi wapi? Unafikiri gari zina longolongo za uchawi unazowadanganya wajinga wenzio humu?
Jifunze kutumia chatgpt utayakuta hayo majibu niliyotowa humu,
Huwa sikisii.
Jifunze kutumia chatgpt[emoji23] another bullshit kumbe umedesa kwenye chatgpt huko[emoji23] imekuongopea vibaya mno.. Waulize waliyoitegemea ilivyowaingiza chaka au wewe ndio uliingiza chaka
yang kazungumzia red blinker baada ya kuzima gari wewe ukakimbilia kusema ni alarm ya oil..! Tangu lini low oil ikatoa alarm? Wewe si mjuzi wa kila kitu vingine viache vikupite ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya
Umesema unamiliki discovery mwaka wa tisa sasa ni discovery toleo gani? Au tukaiulize chatgp itujibu?