Msaada wa hii case law tafadhali

Msaada wa hii case law tafadhali

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Mwalimu Omary & Another Vs Omari Bilal, Court of appeal of Tanzania @ Dar-es-salaam, Civil appeal no. 19 of 1996.

Mwenye nayo anisaiie hapa au inbox, whatever!
 
Kama una access ya kuingia pm kwa mtu sina uhakika ktk hawa wawili MTAZAMO au mdukuzi atakusaidia hitaji lako.

Nakumbuka miaka ya nyuma kusoma sana rejea za kesi mbalimbali kubwa hapa nchini kupitia kwa mmoja wa hao jamaa so nahisi inaweza kuwa msaada kwako.
 
asante ngoja nijaribu "kuwaona"
 
Mwalimu Omary & Another Vs Omari Bilal, Court of appeal of Tanzania @ Dar-es-salaam, Civil appeal no. 19 of 1996.

Mwenye nayo anisaiie hapa au inbox, whatever!
Ni law case au ni case law?
 
Back
Top Bottom