Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Pole sana.
Kwanza, badilisha jina unalotaka utambulike nalo.
Pili, Kama huna uwezo wa kukabiliana na adui yako/zako ,samehe na ujisamehe .
Tatu, anza kuishi maisha unayotaka kuishi. Sahau uliyopitia… ni ngumu Ila inawezekana.