Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Pole Kwa kuumwa, praying for your quick recovery InshaAllah 🤲😊Kila jambo lina wakati wake na anae panga sio wewe wala mimi...😊
God hears and responds when we pray for one another....Pole Kwa kuumwa, praying for your quick recovery InshaAllah 🤲😊
(Keep up that spirit, forever.)
Asante nitafanya hivo 🙏Pole sana.
Kwanza, badilisha jina unalotaka utambulike nalo.
Pili, Kama huna uwezo wa kukabiliana na adui yako/zako ,samehe na ujisamehe .
Tatu, anza kuishi maisha unayotaka kuishi. Sahau uliyopitia… ni ngumu Ila inawezekana.
Indeed & In need.God hears and responds when we pray for one another....
Uchaw huo upo mtu anakuja kweli anakula jicho anakuja kiuchaw ni uchawi mpya now ni mtu wa mtaani ukichungulia kwa mtaalam unamuona na atarud tena be care asikupe motoJamani napitia kipindi kigumu sana jana usiku kuamkia leo nimeota nimeingiliwa na mwanaume mwenzangu kushtuka usiku nimejikuta nimemwaga bao nilikemea ndoto ila bado naumia kwanii initokee mm jamani mwenye kujua hii ndoto au msaada naona sielewi kabisa
Unaendeleaje weee mwamba.Kila jambo lina wakati wake na anae panga sio wewe wala mimi...😊
Mkuu mwenyez Mungu apewe sifa nmefarijika kuona comment yako.God hears and responds when we pray for one another....
Oa tuu ndo dawa, au tafta Dem uwe unakula, usipokula utaliwa weweJamani napitia kipindi kigumu sana jana usiku kuamkia leo nimeota nimeingiliwa na mwanaume mwenzangu kushtuka usiku nimejikuta nimemwaga bao nilikemea ndoto ila bado naumia kwanii initokee mm jamani mwenye kujua hii ndoto au msaada naona sielewi kabisa
Ko nafanyaje asiwe anakuja mpk kwa mtaalamuUchaw huo upo mtu anakuja kweli anakula jicho anakuja kiuchaw ni uchawi mpya now ni mtu wa mtaani ukichungulia kwa mtaalam unamuona na atarud tena be care asikupe moto
Njia nying sanaaa tatizo ujui anakuja lin ila chukua chumvi ya mawe kiganja kimoja changanya na maji kisha rusha rusha huku ukinuia chumban kua mwenye nia mbaxa ashindwe kuja na mtaje mungu akulinde wewe na nyumba yakoKo nafanyaje asiwe anakuja mpk kwa mtaalamu
wewe ni upinde tayari, unawasilisha hoja zako hapa kitaalamu.
Naendelea kuoambana na mazoezi mkuuUnaendeleaje weee mwamba.
Nakuombea upone fasta urudi majukumuni ya kila siku jamaa yangu.Naendelea kuoambana na mazoezi mkuu
Asante nitafanya hivyoNjia nying sanaaa tatizo ujui anakuja lin ila chukua chumvi ya mawe kiganja kimoja changanya na maji kisha rusha rusha huku ukinuia chumban kua mwenye nia mbaxa ashindwe kuja na mtaje mungu akulinde wewe na nyumba yako
Mbona sijawazaUnaota kile unachowaza.
Wewe shoga umekosa mabasha wa kukubashia mtaani unawatafuta mtandaoni,utawapata tu ,keep calm!!Jamani napitia kipindi kigumu sana jana usiku kuamkia leo nimeota nimeingiliwa na mwanaume mwenzangu kushtuka usiku nimejikuta nimemwaga bao nilikemea ndoto ila bado naumia kwanii initokee mm jamani mwenye kujua hii ndoto au msaada naona sielewi kabisa
Aisee pole sana brotherKila jambo lina wakati wake na anae panga sio wewe wala mimi...😊
Kumekucha 😂😂Wewe shoga umekosa mabasha wa kukubashia mtaani unawatafuta mtandaoni,utawapata tu ,keep calm!!
Thread 'Niliharibiwa, nimepata uraibu wa kutamani Wanaume. Naomba msaada niweze kuacha' Niliharibiwa, nimepata uraibu wa kutamani Wanaume. Naomba msaada niweze kuacha