Ilianzia mguu wa kushoto, ila mguu wa kulia pia ipo kwa mbali na inasogea mpaka mapajani kuelekea kiunoniPole,
Kuna mambo zaidi Zaidi nahitajji kujua:
1: Ganzi ilianzia wapi, na mpaka sasa iko sehemu gani mguu/miguu?
2: Ilianza miguu yote kwa pamoja?
3: Una maumivu yoyote kwenye uti wa mgongo?
4: Unafanya kazi zote nzito za kuinama?
Kuhusu Tiba walimwambia hakuna maana alikuwa amechelewa sana, maana alianza kulalamika miguu inakufa ganzi kama miaka 5 hivi upande wakushoto ndio alikuwa analalamika zaidi. Ila kuna dawa walimwandikia za kuwa anaenda kuchukua kila mwezi now tatizo limepungua.Tiba je au ni mpaka leo tatizo bado lipo
Tatizo linaweza kuwa mgandamizo/ nerve intrapment/radiculopathy kwenye mshipa wa fahamu, kuanzia/kwenye usawa wa kiuno kwenda juu kidogo.Ilianzia mguu wa kushoto, ila mguu wa kulia pia ipo kwa mbali na inasogea mpaka mapajani kuelekea kiunoni
Mguu mmoja mwingine ukafuata ila mguu wa kulia ipo kidogo sana
Sometimes nikiwa job nikikaa sana maumivu ya mgongo yanakuwepo kwa mbali amabyo yanaisha baada ya muda mfupi
Kazi zakuinama sio sana , mara nying ni kukaa
Hivi mtu anaganzi halafu afanye jogging kweli kila mtu na,zake kama hawezi simama vizuri ndio jogging anaweza fanyaMkuu Fanya mazoezi ya jogging kwa wiki Moja ukiwa na viatu na tracksuit toka jasho la kutosha halafu wiki ijayo lete majibu. Utanishukuru badae
ThanksTatizo linaweza kuwa mgandamizo kwenye mshipa wa fahamu, kuanzia usawa wa kiuno.
NB: Mwone Neurophysician/daktari bingwa wa mishipa ya fahamu au internal medicine physician/daktari bingwa wa magonjwa ya ndani kwa hospitali tajwa hapo juu.
Pole Mkuu kwa maradhi yako Nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako uguwa pole.Habarini wadau,
Kama wiki sasa nimepata hili tatizo la miguu kufa ganzi, wa kushoto ndio sana mpaka sasa nakuwa siu feel kwa kiasi kikubwa, nikajua itaenda ikipungua ila naona ipo same au kama inapungu basi taratibu sanaaa kiasi chja kwamba siwezi jua,
Kama kuna yoyote mwenye ujuzi au alishawahi kukumbana na hili akapona msaada wako unahitajika
Hospital nimeenda mara mbili mara ya mwisho leo, mara ya kwanza niliambiwa inaweza kuwa ni upungufu wa Vitamin b12 maana dalili pia zinaambatana na ngozi kuwa kavu sana uchovu n.k nikachoma sindano kadhaa za vitamin b12 pamoja na vidonge ila mpaka leo maendeleo ni hafifu tu, leo nikaenda kucheki sukari pamoja na syphilis kwa mujibu wa dokta maana niliambiwa asilimia kubwa itakuwa ni sukari ila majibu yote hayo yamekuwa negative
Msaada kwenye hili tafadhali maana nahisi ni nerve damage somewhere ila sijui cause ndio inaniogopesha nahofia isije ikawa permanent hii feeling which is bad sana kwa upande wangu.
kama unahisi vichomi kama sindano uapogusa vidole vya miguu au kutetemeka hata mara chachebasi ni tatizo la nerve. Kama ndivyo nijuzenerve damage
Tafuta majani ya mlonge, ask me hapa hapa nikuambie namna ya kukausha.Maybe, sijataka kuanza na haya kwanza ngoja nihangaike na menngine ila ntawachek wazee nao