Tempest
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 245
- 430
- Thread starter
- #21
Ilianzia mguu wa kushoto, ila mguu wa kulia pia ipo kwa mbali na inasogea mpaka mapajani kuelekea kiunoniPole,
Kuna mambo zaidi Zaidi nahitajji kujua:
1: Ganzi ilianzia wapi, na mpaka sasa iko sehemu gani mguu/miguu?
2: Ilianza miguu yote kwa pamoja?
3: Una maumivu yoyote kwenye uti wa mgongo?
4: Unafanya kazi zote nzito za kuinama?
Mguu mmoja mwingine ukafuata ila mguu wa kulia ipo kidogo sana
Sometimes nikiwa job nikikaa sana maumivu ya mgongo yanakuwepo kwa mbali amabyo yanaisha baada ya muda mfupi
Kazi zakuinama sio sana , mara nying ni kukaa