Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
- Thread starter
- #21
Naomba nilete mrejesho kama ifuatavyo. Baada ya kupeleka gari garage sio garage za mtaani ni ni garage ya uhakika wanafanya vitu vyao smart na sio janja janja,target ilikua ni kufanya service kumwaga oil na service ndogondogo za gari.
Engineer michael akashauri tucheki na gearbox kuifungua ndo kuona kuna baadhi ya spare parts zimeanza kuisha wakaicheki zaidi ndo spare hzo ilibidi tubadilishe.
Spare tulizopata ni used zimetolewa kwenye gari huku tunaona na kubadilishwa huku tunashuhudia.
Gari kwa sasa ipo poaa mpaka bomba la moshi linatoa maji kuonesha engine ipo sawa wakati before haikuwa hivo. Gari imekua nyepesi rpm haivuki 2 gari inanguvu na inachanganya fasta tofauti na before.
Kuna watu humu walikua wanasema gearbox inunuliwe mpya wakti wataalam wamesema haina haja ni hzo parts zilikua za kubadili sababu ilikua haifanyiwi service toka japan.
NASHUKURU KWA MCHANGO WENU.[emoji120]