Msaada wa hizi spare kwenye gearbox

Msaada wa hizi spare kwenye gearbox

Naomba nilete mrejesho kama ifuatavyo. Baada ya kupeleka gari garage sio garage za mtaani ni ni garage ya uhakika wanafanya vitu vyao smart na sio janja janja,target ilikua ni kufanya service kumwaga oil na service ndogondogo za gari.

Engineer michael akashauri tucheki na gearbox kuifungua ndo kuona kuna baadhi ya spare parts zimeanza kuisha wakaicheki zaidi ndo spare hzo ilibidi tubadilishe.

Spare tulizopata ni used zimetolewa kwenye gari huku tunaona na kubadilishwa huku tunashuhudia.

Gari kwa sasa ipo poaa mpaka bomba la moshi linatoa maji kuonesha engine ipo sawa wakati before haikuwa hivo. Gari imekua nyepesi rpm haivuki 2 gari inanguvu na inachanganya fasta tofauti na before.

Kuna watu humu walikua wanasema gearbox inunuliwe mpya wakti wataalam wamesema haina haja ni hzo parts zilikua za kubadili sababu ilikua haifanyiwi service toka japan.

NASHUKURU KWA MCHANGO WENU.[emoji120]
 
Kuna fundi bwege bahati yangu nilimnote kabla hajaigusa gari,nilienda kwake na shida ya kugonga mguu mmoja wa nyuma,wakati tunatest akaniambia "halafu hii gari haijatolewa thermostat,inabidi tuitoe hii sijui sababu yake ni kwa nchi za baridi",aliposema hivyo nikamshusha hapo hapo fala yule
Dah.... Aiseeee nimecheka balaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba nilete mrejesho kama ifuatavyo. Baada ya kupeleka gari garage sio garage za mtaani ni ni garage ya uhakika wanafanya vitu vyao smart na sio janja janja,target ilikua ni kufanya service kumwaga oil na service ndogondogo za gari.

Engineer michael akashauri tucheki na gearbox kuifungua ndo kuona kuna baadhi ya spare parts zimeanza kuisha wakaicheki zaidi ndo spare hzo ilibidi tubadilishe.

Spare tulizopata ni used zimetolewa kwenye gari huku tunaona na kubadilishwa huku tunashuhudia.

Gari kwa sasa ipo poaa mpaka bomba la moshi linatoa maji kuonesha engine ipo sawa wakati before haikuwa hivo. Gari imekua nyepesi rpm haivuki 2 gari inanguvu na inachanganya fasta tofauti na before.

Kuna watu humu walikua wanasema gearbox inunuliwe mpya wakti wataalam wamesema haina haja ni hzo parts zilikua za kubadili sababu ilikua haifanyiwi service toka japan.

NASHUKURU KWA MCHANGO WENU.[emoji120]
Sijaelewa connection ya gari kufanyiwa service ya gearbox na mabadiliko mapya ya bomba la moshi toa maji, hebu nielekeze ndugu ulichoambiwa na mtaalamu.

Swali jingine, hivi bomba la moshi la gari kutoa matone ya maji ndio ishara kuwa engine ipo bomba ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]?! Eti mkuu .....

Form two ulisoma vema chemistry especially kipande cha precipitation pale?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe unataka tumshauri nini?

1. Amekiri mwenyewe kwamba gearbox ni nzima.

2. Vitu vinavyohitaji preventive maintenance kwenye gari vinafahamika.

Kwenye gari hata siku moja haitokaa itokee solenoid valves ziwe timed preventive maintained. Solenoid kwenye gari ni kama Hizo solenoid valves zote za gearbox, VVT solenoid, VSV solenoid, SCV solenoid pamoja na relay zote

Kitakachokufanya ubadili solenoid ikiwa bado zinafanya kazi ni kama tu zitakuwa na resistance ambayo ni nje ya ile ambayo inatakiwa kuwa nayo.

Mfano hii ni screenshot ya kipande cha manual book ya gearbox mojawapo ya toyota. Sitosema ni gearbox ya gari gani.

View attachment 1916487

Hapo wameonesha connector ya gearbox na pin zake na wakasema kwa kila solenoid valve resistance inatakiwa kuwaje. Hapo ndio umuhimu wa repair manual unaingia.

Kwa mfano Pressure control solenoid inatakiwa kuwa na resistance kati ya 4.5Ω mpaka 6Ω.

Kama ukipima na multimeter ukaona iko nje ya range badili solenoid. Hili halina mjadala.

Na katika hali ya kawaida gearbox haiwezi kuuza solenoid zote hata kama utatoa oil na kuweka maji.

Bado namtakia kila la heri mtoa maada. [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu kuna ka toyota succeed (jamii ya probox) kaligoma kuingiza gia
Mwanzoni kakawa kanaingiza rivers tu.
Mwisho wa siku na rivers imegoma kabisaa

Embu msaada wako hapa boss
 
Mkuu embu nisaidie hapa sijaelewa vizuri. Yaani gear box imekufa ki ufupi?
-1090035104-1677309536.jpg

Nchi za wenzetu wanauza Overhaul kit kama hizi.

Somehow ni better option maana unakuwa sure kwamba umefunga spea mpya so gearbox yako inaweza kulast long.
 
Kama yote mawili, la kwenda mbele na kurudi nyuma yangetokea at once ingewezekana ikawa ni ishu ya umeme. Ila kwa hapo huenda ndio clutches, seals n.k. zishajifia.
Mkuu samahani kwa usumbufu.

Ya kwenda mbele na kurudi nyum kivipi mkuu?

Yaani gari ingeenda mbele na kurudi nyuma kwa pamoja?

Usinichoke mkuu

Wamekuja mafundi kama watatu hivi wanaondoka tuu na hawasemi lolote.

Mmoja alidai labda ni cluctch plate nikamwambia sawa akfiwa hakurudi tena.

Mwingine akadai ingekuwa clutch plates gari ingeanza kupoteza nguvu akadai sijui hydrolic ya kutoka kwenye rejeta inakuja kidogo akadai labda rejeta imechafuka au imeziba hapa ndio akawa kama kanivuruga.

Mwingine alidai rejeta kwenye kugoma gari kuingiza gia havina uhusiano daaaaah. Aseeee

Nilichoamua sasa embu kaeni pembeni niachieni sasa nikapumzika na mambo yang

Sasa huku tulipo wengine maswal y diagnosis msitwambie aseee huwa tuko na hawa hawa wabahatishaji

Sasa nilivyowaona humu nyinyi ndio msaada
 
Labda nikurahisishie hivi.

Kama siyo tatizo linalohitaji mashine ya diagnosis, Basi hiyo gearbox ni ya kununua nyingine,

Matatizo yanayoanza taratibu mara nyingi huwa ni mechanical failure...

Diagnosis labda itahitajika kuconfirm tu kama kuna ishu ya umeme. Ila kam kutakuwa hakuna ishu, kununua gearbox nyjngine kutakuhusu.
 
Diagnosis kwa niliko mkuu kwetu ni msamiati

Labda unipe dalili ambazo naweza kisia kuwa ni umeme au nikununua tuu lingine.

Manake hawa mafundi huku wamenivuruga asee

Na sijui ilikuwaje make lilipaki kama juzi yake tuu, halikufanya kazi siku moja kuamka kama kesho ndio shida ikawa hivyo lakini haijawahi leta hiyo shida.
 
Sasa hata ukijua kwamba shida ni umeme bado diagnosis itakuhusu.
 
Back
Top Bottom