JaffarMohammed
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 762
- 283
Hii ni ngumu kumeza sio siri.Yeye alikuwako kwa baba, yeye alie uzima na nuru ya ulimwengu, yeye ndie mwana wa Mungu, pasipo yeye wala husingekuwepo uumbaji, vyote vimembwa kwa ajili yake, yeye ni mwana wa Mungu, yeye ni mtume wa Mungu, yeye ni nabii wa Mungu, yeye ni upatanisho wa njia ya haki, yeye mwenye nguvu ya Mungu, yeye aliezaliwa kwa roho matakatifu KATIKA kabila la yuda , MUNGU hawez kujitokeza uso kwa uso mbele ya binadam kama ilivikuwa kwa Adam, baada ya anguko la mwanadam Mungu akandaa mpango wa kuwakutanisha binadam na MUNGU, YESU alitakiwa azaliwe aishi kama sisi ili atakapo sulubiwa msalabani na kufa pia nakuzikwa azikwe na dhambi ya ulimwengu,akifufuka na nguvu ya Mungu
Ohh labda sijaelewa vizuri. Kwa hiyo wewe unaamini Yesu ni Mungu alietumwa na Mungu?Yeye alikuwako kwa baba, yeye alie uzima na nuru ya ulimwengu, yeye ndie mwana wa Mungu, pasipo yeye wala husingekuwepo uumbaji, vyote vimembwa kwa ajili yake, yeye ni mwana wa Mungu, yeye ni mtume wa Mungu, yeye ni nabii wa Mungu, yeye ni upatanisho wa njia ya haki, yeye mwenye nguvu ya Mungu, yeye aliezaliwa kwa roho matakatifu KATIKA kabila la yuda , MUNGU hawez kujitokeza uso kwa uso mbele ya binadam kama ilivikuwa kwa Adam, baada ya anguko la mwanadam Mungu akandaa mpango wa kuwakutanisha binadam na MUNGU, YESU alitakiwa azaliwe aishi kama sisi ili atakapo sulubiwa msalabani na kufa pia nakuzikwa azikwe na dhambi ya ulimwengu,akifufuka na nguvu ya Mungu
nooo jaribu kuitafakar biblia na husiisome ka magazet, pitia na mafundisho ya waaminio, utanielewaHii ni ngumu kumeza sio siri.
Mungu akaandaa mpango wa kuwakutanisha binadamu na Mungu........
Nahisi sina roho mtakatifu ndio maana siwezi kuelewa hiki kipengele.
Yeye ndie mwana wa Mungu,Ohh labda sijaelewa vizuri. Kwa hiyo wewe unaamini Yesu ni Mungu alietumwa na Mungu?
Yani mungu kaumba vyote ivyo kwa ajili ya mwanae alafu akubali apigwe misumari na kuwekwa uchi hadharani. .....Ebu stuka kidogo bhana.Yeye alikuwako kwa baba, yeye alie uzima na nuru ya ulimwengu, yeye ndie mwana wa Mungu, pasipo yeye wala husingekuwepo uumbaji, vyote vimembwa kwa ajili yake, yeye ni mwana wa Mungu, yeye ni mtume wa Mungu, yeye ni nabii wa Mungu, yeye ni upatanisho wa njia ya haki, yeye mwenye nguvu ya Mungu, yeye aliezaliwa kwa roho matakatifu KATIKA kabila la yuda , MUNGU hawez kujitokeza uso kwa uso mbele ya binadam kama ilivikuwa kwa Adam, baada ya anguko la mwanadam Mungu akandaa mpango wa kuwakutanisha binadam na MUNGU, YESU alitakiwa azaliwe aishi kama sisi ili atakapo sulubiwa msalabani na kufa pia nakuzikwa azikwe na dhambi ya ulimwengu,akifufuka na nguvu ya Mungu
Hii bado haijaeleweka hasa namba 3 [emoji30]Kwa mujibu wa biblia;
1. Yesu ni Mungu
Soma Yohana 1
2. Yesu ni moja ya Nafsi tatu za Mungu (Mwana) nafsi nyingine ni Roho na Baba.
3. Yesu ni Mzaliwa wa Kwanza wa Viumbe vyote.
4. Yesu ni "Kuhani Mkuu" katika hekalu la kiroho mbinguni (Melkizedeki).
Soma kitabu cha Waebrania
5. Yesu ni Nabii (alipokuwa katika mwili alifanya kazi za kinabii)
Kwa mujibu wa Biblia sio mimi, binafsi nakubaliana na baadhi na napingana na baadhi.!
Ndio kitu cha pili kuexist baada ya Mungu! Au kwa lugha nyepesi isiyo rasmi twaweza kusema Mungu alimuumba kwanza kabla ya vitu vingine vyote ndio maana anaitwa "Mzaliwa wa Kwanza" wa viumbe vyote..Hii bado haijaeleweka hasa namba 3 [emoji30]
haiingii akiliniHii ni ngumu kumeza sio siri.
Mungu akaandaa mpango wa kuwakutanisha binadamu na Mungu........
Nahisi sina roho mtakatifu ndio maana siwezi kuelewa hiki kipengele.
hiyo #3 mkuu....kwangu ni tango pori...Kwa mujibu wa biblia;
1. Yesu ni Mungu
Soma Yohana 1
2. Yesu ni moja ya Nafsi tatu za Mungu (Mwana) nafsi nyingine ni Roho na Baba.
3. Yesu ni Mzaliwa wa Kwanza wa Viumbe vyote.
4. Yesu ni "Kuhani Mkuu" katika hekalu la kiroho mbinguni (Melkizedeki).
Soma kitabu cha Waebrania
5. Yesu ni Nabii (alipokuwa katika mwili alifanya kazi za kinabii)
Kwa mujibu wa Biblia sio mimi, binafsi nakubaliana na baadhi na napingana na baadhi.!
tatizo nini mkuu..??..si tumepewa akili za kutafakari ..na tambua kwamba uwezo mwanadamu pia umetofautiana ktk kutafakari na kupambanua mambo......Mwisho wa siku ni kutafutana matukano yaso na maana yoyote!kila mmoja abaki na imani yake hivi mnashindwa nini?imani ya kweli ni kutoa misaada kwa wasiojeweza,kuna watu Kagela wanalala nje huko ndiko pakupatia pepo badala muende huko mnakuja kujaza server humu JF.mnaulizana mambo ya Mungu ilhal wengine ni wasengenyaji,wazinzi wafitinishaji kwanini huo mda mnaopoteza kubishana humu msiutumie kutubu dhambi zenu kwa Mungu mnaemwamini ktk imani zenu?
[emoji45]Ingekuwa nafahamu namba yako ya simu ningekupigia labda ungenielewa zaidi. Hebu acha kuchokonoa mambo yanayohusu imani ya watu wengine, ukiweza jizuie kabisa. Inawezekana umeanzisha uzi huu ili ku challenge imani ya wengine, ni mbaya na unhealthy kabisa, jifunze kuheshimu hii kitu mkuu.
Hasara utakayoipata wewe na jamii kwa mjadala huu ni kubwa kuliko faida, amini nachokwambia.
hiyo ni tafsiri yako au ya bibilia mkuu....[emoji45] [emoji45]???.. ....Ndio kitu cha pili kuexist baada ya Mungu! Au kwa lugha nyepesi isiyo rasmi twaweza kusema Mungu alimuumba kwanza kabla ya vitu vingine vyote ndio maana anaitwa "Mzaliwa wa Kwanza" wa viumbe vyote..