Msaada wa Imani

Msaada wa Imani

hiyo #3 mkuu....kwangu ni tango pori...
ngoja niendelee kusoma kwa wachangiaji wanaofuata....[emoji45] [emoji45]

hiyo ni tafsiri yako au ya bibilia mkuu....[emoji45] [emoji45]???.. ....
Soma Nyaraka za Mtume Paulo, mara kadhaa anamuita Yesu "Mzaliwa wa kwanza"..

Anda mimi sifungamani na dini yoyote, ila naamini katika Mungu na namshukuru walau nazijua dini zote hizi kwa sehemu
 
Kwa harakaharaka
Catholic - Wanaamini katika Trinity(Mungu = Baba +Mwana(Yesu) + Roho Mtakatifu) - Yesu ni Mungu
Wasabato - Wanaamini katika Trinity(Mungu = Baba +Mwana(Yesu) + Roho Mtakatifu) - Yesu ni Mungu
Jehovah Witness - Yesu sio Mungu na kusema Yesu ni Mungu ni kama unakufuru kwao

Wafuasi wa yesu wengine/Walokole/waprotestants baadhi;
1:Yesu ni Mungu huyohuyo katika Utendaji tofauti
2:Wengine Mungu ni Roho na kwa uwezo wake anaweza kuexist katika form mbalimbali kulingana na anavyohitaji

MAONI YANGU.
Yesu ni Mungu lakini kwa anayeamini bibilia nzima iko sahihi na kila neno la kwenye bibilia liliandikwa kwa Uongozi wa Roho mtakatifu na sio mawazo ya watu, Kwa sababu Sifa zote za Mungu Amepewa Yesu katika bibilia. Mchanganyiko utakuja katika kumchambua ni Mungu katika Mfumo upi. Ila aliitwa Imanuel yaani Mungu pamoja na Wanadamu.
Mchanganyiko mwingine unakuja Anapozaliwa katika umbile la wanadamu hiyo sayansi ndio kwa finite mind zetu inashindwa kuingia akilini mwa wengi sio sisi tu hata wale Mafarisayo hawakumuelewa alipwaambia kuwa Alikuwepo kabla hata baba yao Ibrahimu Ajazaliwa. Wakataka kumponda mawe maana upeo wao ulikuwa ni kuwa yesu mwana wa Yusufu na Mariam na sio Aliyekuwepo hata kabla ya kuwekwa misingi ya Ulimwengu.

Nakubali changamoto katika maoni yangu
 
nooo jaribu kuitafakar biblia na husiisome ka magazet, pitia na mafundisho ya waaminio, utanielewa
Kwanini biblia ifanywe ngumu kiasi ambacho mpaka upate mafundisho ya waaminio? Kwani Mungu hataki tukaifahamu? Mie kwa upande wangu naona maandiko yako wazi wala hauhitaji mtu akupe ufafanuzi. Vipi kama huyo anaekufa ufafanuzi kakosea? Huoni kua anapotosha wengi?
 
Yeye ndie mwana wa Mungu,
Jaffar, unamaanisha huwez kufanya kazi aliyokutuma baba yako, ok unadhani unashindwa kusimama kama baba yako kwa mambo mbali mbali ya mzee wako?
Tukisema mwana wa Mungu unapata ufahamu upi? Hivi mtoto wa mbwa ni paka eti,au? Ufahamu na fikra ndio tatizo KUBWA. YESU hasingeweza kusurubiwa pamoja na nguvu ya kiungu, ndio maana alilia msalabani akimwambia mungu mbona umeniacha juu ya msalaba alikuwa binadam totally hadi kufa na kuzikwa , baada ya kufufuka alikuwa si mwanadamu tena japo nyie watoto wa mamdogo hamuamin hivo na si kwa IMAN ya kwel bali ya kupandikizwa
Okay naomba niulize kwa vipengele kutokana na majibu yako.

1. Kwanza Nikitumwa na Baba siwi Baba, hata kama nitasimama kwa maagizo ya baba hakunifanyi niwe baba. Nabaki kua mtoto na yeye anabaki kua baba tu.

2. Suala la Mwana wa Mungu kama mfano wako wa mtoto wa nyoka kua nyoka. Labda unasahau kua hata Sisi sote ni Wana wa Mungu. Biblia imeliweka wazi hilo mara nyingi sana.
HATA Yesu aliwaambia wakati anataka kupaa kuwa Msihuzunike kwani naenda kea Baba Yangu ambae ni Baba yenu, na kwa Mungu wangu ambae Ni Mungu wenu. Sasa kama mtoto wa Mungu anakua Mungu basi hata Mie Ntakua mungu [emoji23] [emoji23]

3. Kuhusu kusulubiwa. Umedai kua ilibidi awe Mwanadamu ili asulubiwe. Aisee hapa napo unanichekesha. [emoji23] [emoji23] Sasa cha kushangaza Mungu Kabadilika kua Mwanadamu. Halafu huyo Mwanadamu anaanza Tena Kujililia na kusema
ELOI ELOI...Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha??

4. Unasema baada ya kufufuka Hakua tena Mtu? Suali langu nani alimfufua? Pili baada ya Kufufuka Baba yake alienda wapi? Kama alikuepo basi Mungu bado alikuepo na Yesu alibaki kua Mwana kama mimi na wewe

TAFAKARI VIZURI. Sisi watoto wa mamdogo hua tuna akili sana ndio maana mamkubwa na watoto wake hawatupendi.[emoji3]
 
Kwa harakaharaka
Catholic - Wanaamini katika Trinity(Mungu = Baba +Mwana(Yesu) + Roho Mtakatifu) - Yesu ni Mungu
Wasabato - Wanaamini katika Trinity(Mungu = Baba +Mwana(Yesu) + Roho Mtakatifu) - Yesu ni Mungu
Jehovah Witness - Yesu sio Mungu na kusema Yesu ni Mungu ni kama unakufuru kwao

Wafuasi wa yesu wengine/Walokole/waprotestants baadhi;
1:Yesu ni Mungu huyohuyo katika Utendaji tofauti
2:Wengine Mungu ni Roho na kwa uwezo wake anaweza kuexist katika form mbalimbali kulingana na anavyohitaji

MAONI YANGU.
Yesu ni Mungu lakini kwa anayeamini bibilia nzima iko sahihi na kila neno la kwenye bibilia liliandikwa kwa Uongozi wa Roho mtakatifu na sio mawazo ya watu, Kwa sababu Sifa zote za Mungu Amepewa Yesu katika bibilia. Mchanganyiko utakuja katika kumchambua ni Mungu katika Mfumo upi. Ila aliitwa Imanuel yaani Mungu pamoja na Wanadamu.
Mchanganyiko mwingine unakuja Anapozaliwa katika umbile la wanadamu hiyo sayansi ndio kwa finite mind zetu inashindwa kuingia akilini mwa wengi sio sisi tu hata wale Mafarisayo hawakumuelewa alipwaambia kuwa Alikuwepo kabla haya baba yao Ibrahimu Ajazaliwa. Wkataka kumponda mawe maana upeo wao ulikuwa ni kuwa yesu mwana wa Yusufu na Mariam na sio Aliyekuwepo hata kabla ya kuwekwa misingi ya Ulimwengu.

Nakubali changamoto katika maoni yangu
Kwanza
nasikitika sana kukwambia biblia haikuongozwa na roho mtakatifu. Ukibisha ntakupa ushahidi.
Pili
Hivi kama nikikupa miungu wawili. Halafu mmoja katika miungu hiyo akasema kwamba mwenzie ndio mkuu kuliko yeye. Hapo utamwamini Mungu yupi katika hao wawili?
 
Habari wana JF. naomba kufahamishwa kuhusu Yesu Mtoto wa Mariam. Je Imani ya Wasabato, Waroma na Madhehebu mengine wanamchukulia kama Nani? Je ni Mungu? Mwana wa Mungu ama Mtume wa Mungu? Asanteni.

John 5:16-18 So, because Jesus was doing these things on the Sabbath, the Jewish leaders began to persecute him. In his defense Jesus said to them, “My Father is always at his work to this very day, and I too am working.” For this reason they tried all the more to kill him; not only was he breaking the Sabbath, but he was even calling God his own Father, making himself equal with God.
 
Soma Nyaraka za Mtume Paulo, mara kadhaa anamuita Yesu "Mzaliwa wa kwanza"..

Anda mimi sifungamani na dini yoyote, ila naamini katika Mungu na namshukuru walau nazijua dini zote hizi kwa sehemu
Mtume paulo? Nani kampa Paulo utume?
 
John 5:16-18 So, because Jesus was doing these things on the Sabbath, the Jewish leaders began to persecute him. In his defense Jesus said to them, “My Father is always at his work to this very day, and I too am working.” For this reason they tried all the more to kill him; not only was he breaking the Sabbath, but he was even calling God his own Father, making himself equal with God.
JESUS also said my Father is greater than i. so i dont think you are right to make equal and greater the same thing!
 
Mungu ni Roho (Yohana 4:24)
Tunayajua mambo ya Mungu kwa kufunuliwa na Roho Mtakatifu (1Kor 2:10) "Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu". Hivyo basi usitegemee kuyajua mambo ya Mungu kama huna Roho Mtakatifu.

Tunafundishwa yote na Roho Mtakatifu: " Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote na kuwakumbusha yote niliyowaambia" (Yohana 14:26)

UKIMPOKEA YESU KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO NDIPO ROHO MTAKATIFU ANAPOINGIA NDANI YAKO NA KUKUONESHA NA KUKUFUNDISHA MAMBO YOTE YA KIMUNGU.

Kamwe usidhani waweza kumfahamu Mungu kwa kuzitegemea akili zako za kawaida! Kamwe! Kamwe!
 
Kwani kwa mujibu wa bibilia ni nani binadamu wa kwanza?
Binadamu wa kwanza ni Adam lakini sio kiumbe cha kwanza.! Hata wanyama walikuwa wameshaumbwa kabla ya Adam..

Pia Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu walikuwa wapo tayari kabla ya adamu.! Rejea Genesis 1
 
Tutumie akili za vipi,ili tumjue Mungu ??
 
Give the the scripture were he said that..facts
Looks like you dont read your own bible. Here we go
John 14:28 ►

You have heard how I said to you, I go away, and come again to you. If you loved me, you would rejoice, because I said, I go to the Father: for my Father is greater than I.
 
Sijihusishagi na huu ubishi wa kitoto, yawezekana unahisi mimi mi mgalatia lakini nimekwisha kueleza mimi sifungamani na dini yoyote lakini naamini katika Mungu.!

Unajua utume unapatikana vipi kwa mujibu wa biblia??
Kuamini kuna Mungu tayari ni dini. Sasa huwezi sema hufungamani na dini yoyote. Hivi nikikupa maneno ya paulo na maneno ya Yesu yapi utayafata na kuyaamini?
 
Binadamu wa kwanza ni Adam lakini sio kiumbe cha kwanza.! Hata wanyama walikuwa wameshaumbwa kabla ya Adam..

Pia Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu walikuwa wapo tayari kabla ya adamu.! Rejea Genesis 1
Nashukuru kufahamu kua Yesu aliumbwa!! Aliumbwa na nani ndio swali
 
Kwa mujibu wa biblia;

1. Yesu ni Mungu
Soma Yohana 1

2. Yesu ni moja ya Nafsi tatu za Mungu (Mwana) nafsi nyingine ni Roho na Baba.

3. Yesu ni Mzaliwa wa Kwanza wa Viumbe vyote.

4. Yesu ni "Kuhani Mkuu" katika hekalu la kiroho mbinguni (Melkizedeki).
Soma kitabu cha Waebrania

5. Yesu ni Nabii (alipokuwa katika mwili alifanya kazi za kinabii)

Kwa mujibu wa Biblia sio mimi, binafsi nakubaliana na baadhi na napingana na baadhi.!
umependeza Sana wallah
 
Back
Top Bottom