Msaada wa Imani

Msaada wa Imani

Mkuu;
Unapotaka kumfikiri Mungu kinadharia inakuwa ngumu kuelewa. Neno moja fupi tu ni kuwa; Amini kwamba, Yesu ni Mungu. Yaani, baada ya mwanadam kuanguka, Mungu alitaka kumrudisha kwake. Aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu. Kumbuka; Hakuumbwa mwingine yeyote kwa mfano na sura ya Mungu kama mwanadam.
Hivyo, akatakiwa, mwanadam kweli, amkomboe (amlipie) deni mwanadam. Mungu akasema, awepo wa kufanana na mwanadam amkomboe mwanadam. Kwa sababu; Dam ya mnyama haikusaidia ikatakiwa dam isio na hatia. Mungu, akalituma neno lake, likafanyika mwili (mtu) akaishi ka sisi, akajaribiwa ka sisi lakini hakutenda dhambi. (Yesu).
Mkuu, ni furaha kuamini hivyo kwani aliyeumba mbingu na nchi huwezi kumfaham kwa ubongo wako weye kwani nao aliuumba. Chukulia tu hivi; Aliyeumba hawezi lingana na aliyeumbwa.
Yesu ni Mungu kamili na mtu kamili.
Na wewe umejuaje???
 
Yesu ni mzaliwa wa kwanza wa VIUMBE wote.....maana yake akina Manabii Musa (Moses) Ibrahim (Abraham) nabii Nuhu (Noah) ama Mfalme Suleiman (King Solomon) na wengine kama Bi Mariam (Maria)...unamaanisha wote hawa Nabii Issa (a.s.w) Yesu alitangulia kuzaliwa kabla yao...!!?
Kwa mujibu wa Biblia - YES

Kwa mujibu wa Imani nyingine - HAPANA
 
Okay naomba niulize kwa vipengele kutokana na majibu yako.

1. Kwanza Nikitumwa na Baba siwi Baba, hata kama nitasimama kwa maagizo ya baba hakunifanyi niwe baba. Nabaki kua mtoto na yeye anabaki kua baba tu.

2. Suala la Mwana wa Mungu kama mfano wako wa mtoto wa nyoka kua nyoka. Labda unasahau kua hata Sisi sote ni Wana wa Mungu. Biblia imeliweka wazi hilo mara nyingi sana.
HATA Yesu aliwaambia wakati anataka kupaa kuwa Msihuzunike kwani naenda kea Baba Yangu ambae ni Baba yenu, na kwa Mungu wangu ambae Ni Mungu wenu. Sasa kama mtoto wa Mungu anakua Mungu basi hata Mie Ntakua mungu [emoji23] [emoji23]

3. Kuhusu kusulubiwa. Umedai kua ilibidi awe Mwanadamu ili asulubiwe. Aisee hapa napo unanichekesha. [emoji23] [emoji23] Sasa cha kushangaza Mungu Kabadilika kua Mwanadamu. Halafu huyo Mwanadamu anaanza Tena Kujililia na kusema
ELOI ELOI...Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha??

4. Unasema baada ya kufufuka Hakua tena Mtu? Suali langu nani alimfufua? Pili baada ya Kufufuka Baba yake alienda wapi? Kama alikuepo basi Mungu bado alikuepo na Yesu alibaki kua Mwana kama mimi na wewe

TAFAKARI VIZURI. Sisi watoto wa mamdogo hua tuna akili sana ndio maana mamkubwa na watoto wake hawatupendi.[emoji3]
Unauliza mambo hata hazina logic, lakini nyie wafuas wa kirumi huwa hammpendi YESU kwa gharama yoyote, nyie waarabu mlishapandikizwa chuki, ushajiuliza anti-christ ni kina Nan kama si Roman+ Arab or Muslim
 
Nimesoma na Kuzifahamu dini nyingi na kujikuta nimekuwa na makhaba nazo zote..

Islam - naifahamu kwa mapana
Ukristo - I'm an expert
Buddhism - naifahamu kwa sehemu
Hindu - naifahamu kwa sehemu
Judaism - naifahamu kwa mapana
Scientology - naifahamu kwa mapana
Freemasonry - naifahamu kwa mapana (ingawa hii sio dini)

So kujibu swali lako, ni kwamba kwa nazifahamu kwa uzuri tu hizi dini, na nimejikuta nina makhaba nazo zote..
inatosha nimekuelewa mkuu....
 
Nimeshapata wasiwasi naweza kua najadili mada na Mwanamke. Maana uelewa wako ni mdogo sana. Nimekuuliza swali hutaki kulijibu unababaja babaja manenilo tu.

Ndio maana inabidi nilete neno kutoka kwa 1. wakorinto mlango wa 14

34 Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.
35 Nao wakitaka kujifunza neno lo lote, na wawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao; maana ni aibu wanawake kunena katika kanisa.

Nadhani maandiko hayo yanayofanana na jina lako yanahusu watu kama wewe.[emoji23] [emoji23]
Unauliza swali.unaogopa majibu.

Vichwa vyote vilivyopita madrasa ni saizi ya watoto wa sunday school.
 
Kila moja abaki na anavyoamini. Imani ibaki kuwa imani,siyo sayansi.
 
Mkuu;
Unapotaka kumfikiri Mungu kinadharia inakuwa ngumu kuelewa. Neno moja fupi tu ni kuwa; Amini kwamba, Yesu ni Mungu. Yaani, baada ya mwanadam kuanguka, Mungu alitaka kumrudisha kwake. Aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu. Kumbuka; Hakuumbwa mwingine yeyote kwa mfano na sura ya Mungu kama mwanadam.
Hivyo, akatakiwa, mwanadam kweli, amkomboe (amlipie) deni mwanadam. Mungu akasema, awepo wa kufanana na mwanadam amkomboe mwanadam. Kwa sababu; Dam ya mnyama haikusaidia ikatakiwa dam isio na hatia. Mungu, akalituma neno lake, likafanyika mwili (mtu) akaishi ka sisi, akajaribiwa ka sisi lakini hakutenda dhambi. (Yesu).
Mkuu, ni furaha kuamini hivyo kwani aliyeumba mbingu na nchi huwezi kumfaham kwa ubongo wako weye kwani nao aliuumba. Chukulia tu hivi; Aliyeumba hawezi lingana na aliyeumbwa.
Yesu ni Mungu kamili na mtu kamili.
Hilo deni la dhambi Mungu ambae nimuweza wa kila Jambo hawezi kulisamehe mpaka atoe kafara ya kifo na damu kwa mwanae? Ninavyojua mimi Mungu hata leo akiamua kutusamehe dhambi zetu anatusamehe tu. Hiyo kafara ya mpaka amuue mwanae kweli inaingia akilini? Yaani wewe uibe na ufanye uzinzi halafu badala ya kukusamehe niamue kumuua mtoto wangu? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duh huyu atakua Mungu wa kafara sasa !!
 
Wee mchukulie hivyo hivyo maana hauwezi kumwelewa hata ukieleweshwa.mchukulie vyovyote utakavyo kwa sasa maana hakuhusu.siku ya kukuhusu atajidhihirisha kwako kama au zaidi ya Sauli.usitutafutie lawama bure!
Ohh kumbe hatutakiwi kufahamu? Tunatakiwa tusubirie tu?
 
Nimesoma na Kuzifahamu dini nyingi na kujikuta nimekuwa na makhaba nazo zote..

Islam - naifahamu kwa mapana
Ukristo - I'm an expert
Buddhism - naifahamu kwa sehemu
Hindu - naifahamu kwa sehemu
Judaism - naifahamu kwa mapana
Scientology - naifahamu kwa mapana
Freemasonry - naifahamu kwa mapana (ingawa hii sio dini)

So kujibu swali lako, ni kwamba kwa nazifahamu kwa uzuri tu hizi dini, na nimejikuta nina makhaba nazo zote..
Nasikitika kukwambia hujui kuhusu uislamu. Yeyote anaefahamu kuhusu uislamu basi hawezi hangaika na dini zingine.
 
Unauliza mambo hata hazina logic, lakini nyie wafuas wa kirumi huwa hammpendi YESU kwa gharama yoyote, nyie waarabu mlishapandikizwa chuki, ushajiuliza anti-christ ni kina Nan kama si Roman+ Arab or Muslim
Pole ndugu. Nikufunze Jambo ambalo ulikua hulifahamu. Waislamu tunampenda sana Yesu. Na Mambo mengi sana alioyafundisha Yesu sio ndio tunayafuata na kuyatekeleza .ukitaka ushahidi ntakupa.

Suala la uarabu halihusiani kabisa na dini ya kiislamu. Kuna warabu wengi tu ambao sio waislamu tena. Inaonesha unachuki binafsi na waarabu hivyo nakupa pole.

Tatu Anti-christ ni mpinga Yesu and so far mie naona wakristo wengi ndio mnaompinga Yesu maanq mnaenda kinyume kabisa na yote alioyafunza.

Sasa kama umeshindwa kujibu maswali niliyoyauliza ni bora ungekaa kimya tu kuliko kuongea vitu visivyo na maana yoyote.
 
Unauliza swali.unaogopa majibu.

Vichwa vyote vilivyopita madrasa ni saizi ya watoto wa sunday school.
Madrasa imetoka wapi tena humu? Au siku hizi inaitwa JF Madrasa? [emoji23] [emoji23] jibu maswali acha kelele
 
Habari wana JF. naomba kufahamishwa kuhusu Yesu Mtoto wa Mariam. Je Imani ya Wasabato, Waroma na Madhehebu mengine wanamchukulia kama Nani? Je ni Mungu? Mwana wa Mungu ama Mtume wa Mungu? Asanteni.
Muulize shekh kipoozeo au ustaadhi lipumba
 
Madrasa imetoka wapi tena humu? Au siku hizi inaitwa JF Madrasa? [emoji23] [emoji23] jibu maswali acha kelele
[emoji3] [emoji3] kelele unazisikiaje kwenye maandishi wewe???

Swali lako limajibiwa ila hutaki jibu unachagua kama mama mjamzito anachagua maembe.
 
Back
Top Bottom