maxime
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 2,231
- 1,315
No, actually u make God look stupid....Kibinadamu haiwezekani. Lakini kwake Mungu inawezekana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No, actually u make God look stupid....Kibinadamu haiwezekani. Lakini kwake Mungu inawezekana.
Na wewe umejuaje???Mkuu;
Unapotaka kumfikiri Mungu kinadharia inakuwa ngumu kuelewa. Neno moja fupi tu ni kuwa; Amini kwamba, Yesu ni Mungu. Yaani, baada ya mwanadam kuanguka, Mungu alitaka kumrudisha kwake. Aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu. Kumbuka; Hakuumbwa mwingine yeyote kwa mfano na sura ya Mungu kama mwanadam.
Hivyo, akatakiwa, mwanadam kweli, amkomboe (amlipie) deni mwanadam. Mungu akasema, awepo wa kufanana na mwanadam amkomboe mwanadam. Kwa sababu; Dam ya mnyama haikusaidia ikatakiwa dam isio na hatia. Mungu, akalituma neno lake, likafanyika mwili (mtu) akaishi ka sisi, akajaribiwa ka sisi lakini hakutenda dhambi. (Yesu).
Mkuu, ni furaha kuamini hivyo kwani aliyeumba mbingu na nchi huwezi kumfaham kwa ubongo wako weye kwani nao aliuumba. Chukulia tu hivi; Aliyeumba hawezi lingana na aliyeumbwa.
Yesu ni Mungu kamili na mtu kamili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu avatar yako imenichekesha sana.No, actually u make God look stupid....
Kwa mujibu wa Biblia - YESYesu ni mzaliwa wa kwanza wa VIUMBE wote.....maana yake akina Manabii Musa (Moses) Ibrahim (Abraham) nabii Nuhu (Noah) ama Mfalme Suleiman (King Solomon) na wengine kama Bi Mariam (Maria)...unamaanisha wote hawa Nabii Issa (a.s.w) Yesu alitangulia kuzaliwa kabla yao...!!?
Na haitatokea ikaingia akilini si kwa kupenda ila umeingiziwa baby powder ndani ya sembe hauwez tenganisha, nyie njama ZA warumi tuhaiingii akilini
Unauliza mambo hata hazina logic, lakini nyie wafuas wa kirumi huwa hammpendi YESU kwa gharama yoyote, nyie waarabu mlishapandikizwa chuki, ushajiuliza anti-christ ni kina Nan kama si Roman+ Arab or MuslimOkay naomba niulize kwa vipengele kutokana na majibu yako.
1. Kwanza Nikitumwa na Baba siwi Baba, hata kama nitasimama kwa maagizo ya baba hakunifanyi niwe baba. Nabaki kua mtoto na yeye anabaki kua baba tu.
2. Suala la Mwana wa Mungu kama mfano wako wa mtoto wa nyoka kua nyoka. Labda unasahau kua hata Sisi sote ni Wana wa Mungu. Biblia imeliweka wazi hilo mara nyingi sana.
HATA Yesu aliwaambia wakati anataka kupaa kuwa Msihuzunike kwani naenda kea Baba Yangu ambae ni Baba yenu, na kwa Mungu wangu ambae Ni Mungu wenu. Sasa kama mtoto wa Mungu anakua Mungu basi hata Mie Ntakua mungu [emoji23] [emoji23]
3. Kuhusu kusulubiwa. Umedai kua ilibidi awe Mwanadamu ili asulubiwe. Aisee hapa napo unanichekesha. [emoji23] [emoji23] Sasa cha kushangaza Mungu Kabadilika kua Mwanadamu. Halafu huyo Mwanadamu anaanza Tena Kujililia na kusema
ELOI ELOI...Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha??
4. Unasema baada ya kufufuka Hakua tena Mtu? Suali langu nani alimfufua? Pili baada ya Kufufuka Baba yake alienda wapi? Kama alikuepo basi Mungu bado alikuepo na Yesu alibaki kua Mwana kama mimi na wewe
TAFAKARI VIZURI. Sisi watoto wa mamdogo hua tuna akili sana ndio maana mamkubwa na watoto wake hawatupendi.[emoji3]
inatosha nimekuelewa mkuu....Nimesoma na Kuzifahamu dini nyingi na kujikuta nimekuwa na makhaba nazo zote..
Islam - naifahamu kwa mapana
Ukristo - I'm an expert
Buddhism - naifahamu kwa sehemu
Hindu - naifahamu kwa sehemu
Judaism - naifahamu kwa mapana
Scientology - naifahamu kwa mapana
Freemasonry - naifahamu kwa mapana (ingawa hii sio dini)
So kujibu swali lako, ni kwamba kwa nazifahamu kwa uzuri tu hizi dini, na nimejikuta nina makhaba nazo zote..
Unauliza swali.unaogopa majibu.Nimeshapata wasiwasi naweza kua najadili mada na Mwanamke. Maana uelewa wako ni mdogo sana. Nimekuuliza swali hutaki kulijibu unababaja babaja manenilo tu.
Ndio maana inabidi nilete neno kutoka kwa 1. wakorinto mlango wa 14
34 Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.
35 Nao wakitaka kujifunza neno lo lote, na wawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao; maana ni aibu wanawake kunena katika kanisa.
Nadhani maandiko hayo yanayofanana na jina lako yanahusu watu kama wewe.[emoji23] [emoji23]
Kasema Yesu aliumbwa kabla ya Dunia na Mbingu.Ni Yesu yupi aliumbwa?
Hebu nipe sababu ya Mungu kutaka kua kama kiumbe alichokiumba?Kibinadamu haiwezekani. Lakini kwake Mungu inawezekana.
Hilo deni la dhambi Mungu ambae nimuweza wa kila Jambo hawezi kulisamehe mpaka atoe kafara ya kifo na damu kwa mwanae? Ninavyojua mimi Mungu hata leo akiamua kutusamehe dhambi zetu anatusamehe tu. Hiyo kafara ya mpaka amuue mwanae kweli inaingia akilini? Yaani wewe uibe na ufanye uzinzi halafu badala ya kukusamehe niamue kumuua mtoto wangu? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duh huyu atakua Mungu wa kafara sasa !!Mkuu;
Unapotaka kumfikiri Mungu kinadharia inakuwa ngumu kuelewa. Neno moja fupi tu ni kuwa; Amini kwamba, Yesu ni Mungu. Yaani, baada ya mwanadam kuanguka, Mungu alitaka kumrudisha kwake. Aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu. Kumbuka; Hakuumbwa mwingine yeyote kwa mfano na sura ya Mungu kama mwanadam.
Hivyo, akatakiwa, mwanadam kweli, amkomboe (amlipie) deni mwanadam. Mungu akasema, awepo wa kufanana na mwanadam amkomboe mwanadam. Kwa sababu; Dam ya mnyama haikusaidia ikatakiwa dam isio na hatia. Mungu, akalituma neno lake, likafanyika mwili (mtu) akaishi ka sisi, akajaribiwa ka sisi lakini hakutenda dhambi. (Yesu).
Mkuu, ni furaha kuamini hivyo kwani aliyeumba mbingu na nchi huwezi kumfaham kwa ubongo wako weye kwani nao aliuumba. Chukulia tu hivi; Aliyeumba hawezi lingana na aliyeumbwa.
Yesu ni Mungu kamili na mtu kamili.
Ohh kumbe hatutakiwi kufahamu? Tunatakiwa tusubirie tu?Wee mchukulie hivyo hivyo maana hauwezi kumwelewa hata ukieleweshwa.mchukulie vyovyote utakavyo kwa sasa maana hakuhusu.siku ya kukuhusu atajidhihirisha kwako kama au zaidi ya Sauli.usitutafutie lawama bure!
Nasikitika kukwambia hujui kuhusu uislamu. Yeyote anaefahamu kuhusu uislamu basi hawezi hangaika na dini zingine.Nimesoma na Kuzifahamu dini nyingi na kujikuta nimekuwa na makhaba nazo zote..
Islam - naifahamu kwa mapana
Ukristo - I'm an expert
Buddhism - naifahamu kwa sehemu
Hindu - naifahamu kwa sehemu
Judaism - naifahamu kwa mapana
Scientology - naifahamu kwa mapana
Freemasonry - naifahamu kwa mapana (ingawa hii sio dini)
So kujibu swali lako, ni kwamba kwa nazifahamu kwa uzuri tu hizi dini, na nimejikuta nina makhaba nazo zote..
Pole ndugu. Nikufunze Jambo ambalo ulikua hulifahamu. Waislamu tunampenda sana Yesu. Na Mambo mengi sana alioyafundisha Yesu sio ndio tunayafuata na kuyatekeleza .ukitaka ushahidi ntakupa.Unauliza mambo hata hazina logic, lakini nyie wafuas wa kirumi huwa hammpendi YESU kwa gharama yoyote, nyie waarabu mlishapandikizwa chuki, ushajiuliza anti-christ ni kina Nan kama si Roman+ Arab or Muslim
Madrasa imetoka wapi tena humu? Au siku hizi inaitwa JF Madrasa? [emoji23] [emoji23] jibu maswali acha keleleUnauliza swali.unaogopa majibu.
Vichwa vyote vilivyopita madrasa ni saizi ya watoto wa sunday school.
Muulize shekh kipoozeo au ustaadhi lipumbaHabari wana JF. naomba kufahamishwa kuhusu Yesu Mtoto wa Mariam. Je Imani ya Wasabato, Waroma na Madhehebu mengine wanamchukulia kama Nani? Je ni Mungu? Mwana wa Mungu ama Mtume wa Mungu? Asanteni.
[emoji3] [emoji3] kelele unazisikiaje kwenye maandishi wewe???Madrasa imetoka wapi tena humu? Au siku hizi inaitwa JF Madrasa? [emoji23] [emoji23] jibu maswali acha kelele
Ili linaitwa jibu la kiimani zaidi yani la kondoo wa bwana :Teh Teh! !!!Kibinadamu haiwezekani. Lakini kwake Mungu inawezekana.
Je hizo nafsi tatu zinanguvu sawa au kuna nafsi ambayo inamamlaka zaidi ya zingine?umependeza Sana wallah