Yeye alikuwako kwa baba, yeye alie uzima na nuru ya ulimwengu, yeye ndie mwana wa Mungu, pasipo yeye wala husingekuwepo uumbaji, vyote vimembwa kwa ajili yake, yeye ni mwana wa Mungu, yeye ni mtume wa Mungu, yeye ni nabii wa Mungu, yeye ni upatanisho wa njia ya haki, yeye mwenye nguvu ya Mungu, yeye aliezaliwa kwa roho matakatifu KATIKA kabila la yuda , MUNGU hawez kujitokeza uso kwa uso mbele ya binadam kama ilivikuwa kwa Adam, baada ya anguko la mwanadam Mungu akandaa mpango wa kuwakutanisha binadam na MUNGU, YESU alitakiwa azaliwe aishi kama sisi ili atakapo sulubiwa msalabani na kufa pia nakuzikwa azikwe na dhambi ya ulimwengu,akifufuka na nguvu ya Mungu