[emoji1] [emoji1] [emoji1] nilijua yupo serious anahitaji msaadaMkuu haya maandiko hawapewi watu wanafiki wanapewa wajinga.
Usiwe mwepesi mara zote kutoa andiko.
Hawa wanajibiwa kwa kutumia vichwa vyao wenyewe.
Usione watu tunawadhihaki humu mkuu hatuwapi wanachoomba tunajua mitego yao.[emoji1] [emoji1] [emoji1] nilijua yupo serious anahitaji msaada
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Usione watu tunawadhihaki humu mkuu hatuwapi wanachoomba tunajua mitego yao.
Tunacheza na akili zao tu.
Jaffar;
Nimeshakueleza mara kadhaa, unapo mlinganisha Mungu Muumba wa vyote na alichokiumba una shida. Mungu hakuja kuuhukumu ulimwengu bali kuuponya ulimwengu. Kulikuwa hakujawepo mpango mwingine ka huu hivyo mfano wako wa mwanagu James na labda nimwite jirani Yuda haviko hivyo!!
Ukombozi wa Mungu kwa ulimwengu ni tofauti. Tunasoma hivi; Yoh. 3 : 16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanaye pekee, ili kila mtua amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. 17 Maana Mungu hakumtuma Mwanaye ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe kwa yeye. 18 Amwaminiye yeye (Huyo Mwana) hahukumiwi; asiyemwamini (Huyo Mwana pekee) amekwisha hukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.
Jaffar, Kwa nini tunataka kumfundisha Mungu?? Tulimkosea sisi, halafu tunataka atusamehe tunavyotaka sisi wala si kama atakavyo yeye. Huku tunajitia nguvu kuwa Mungu wetu aweza kufanya lolote. Kuna kasoro mahali fulani. Huenda tunajifanya vipofu na viziwi wenyewe.
Angalia Yoh. 3 : 19
Na hii ndiyo hukumu; ya kuwa nuru ilikuja ulimwenguni, na watu wakapenda giza kuliko nuru; kwa maana matendo yao yalikuwa maovu.
Amini kuwa ulimkosea Mungu na ni yeye Mungu tu awezaye kukusamehe. Tiyari kisha kusamehe, amini tu.
Okay then. Kama unaamini biblia naomba nikuulize swali. Je unaamini biblia haijabadilishwa na wala haina makosa?Naiamini Biblia kuliko kitabu kingine chochote,
..makosa Gani unamaanisha mkuu,the whole logic au makosa ya uandishi katika harakati za kutafsiri??Okay then. Kama unaamini biblia naomba nikuulize swali. Je unaamini biblia haijabadilishwa na wala haina makosa?
Niamini Mungu yupi?Achana nae fanya mambo mengne. Utapasuka kichwa.
Uislam kaja nao mwarabu na sijui aliutoa wap???
Ukristo kaja nao mzungu. Sijui na yeye aliuokota wap.
Lakin yote hayo mapazia ya kubeba vito vya saman. Sasa wwe jichanganye kuuliza maswal ya kipuuz wakat hakuna aliyekufa akafufuka kuja kuleta aliyoyaona huko. AMIN MUNGU BASI
Makosa ya kimaandishi kama sehemu moja iseme jeshi la suleiman lilikua na wa tu 1010 na sehemu nyingine iseme 1100...makosa Gani unamaanisha mkuu,the whole logic au makosa ya uandishi katika harakati za kutafsiri??
..naam ni errors ambazo haziepukiki Mkuu but nevertheLess LOGIC ni genuine!!Makosa ya kimaandishi kama sehemu moja iseme jeshi la suleiman lilikua na wa tu 1010 na sehemu nyingine iseme 1100.
Boss, Kitabu cha Mungu hakitakiwi kua na Errors ! Unaamini Mungu anaweza kua na kitabu kama hicho?..naam ni errors ambazo haziepukiki Mkuu but nevertheLess LOGIC ni genuine!!
Mkuu acha kujichanganya na vitu vyenye kutumia akili ya kawaida kufikiri.Boss, Kitabu cha Mungu hakitakiwi kua na Errors ! Unaamini Mungu anaweza kua na kitabu kama hicho?
Nikupe mfano wa kifo cha yuda Escariot
Matendo 1:18 alikua shambani akajikwaa na kuanguka na matumbo yake yakapasuka. hali yakua kinyume kabisa na maelezo hayo Matayo 27:5 alienda akajinyonga.
Hebu jaribu kutafakari. Biblia moja kifo cha mtu mmoja maelezo mawili tofauti kabisa.
Sasa tujue wazi Mungu si mwanadamu wa kufanya makosa kama haya na kitabu cha Mungu hakiwezi kua na kisa hata Moja.
Kuna maandiko hapo nimeweka boss. Kama unaweza kujibu naomba ujibu. Halafu ndio twende kwenye Quran. tusiwe tunaruka ruka kama panzi. Kama unaamini Quran in errors utaleta maandiko unayohisi yana tatizo tuyajadili. Hakuna haja ya POVU.Mkuu acha kujichanganya na vitu vyenye kutumia akili ya kawaida kufikiri.
Wewe unaamini asilimia mia moja quran haina error yoyote ile????
Wapi povu,, unaamini quran iko perfect 100%???? jibu hapa.Kuna maandiko hapo nimeweka boss. Kama unaweza kujibu naomba ujibu. Halafu ndio twende kwenye Quran. tusiwe tunaruka ruka kama panzi. Kama unaamini Quran in errors utaleta maandiko unayohisi yana tatizo tuyajadili. Hakuna haja ya POVU.
sasa nipe maelezo kuhusu maandiko hayo ndio tuendelee.
Kwa maana hiyo unataka kusema wasabato sio wakristo maana wao hawaamini kama Yesu ni Mungu.Imani ni kitu ambacho kupingana nacho ni kazi.
Wakritu tunaamini kuwa Yesu ni Mungu. Nikiwa na maana ya kwamba Mungu ni mmoja lakini katika nafsi tatu, yaani Mungu baba, Mungu mwana (Yesu) na Mungu roho mtakatifu.
Kwa mfano rahisi ni sawa na kusema gari ni moja lakni lina matair, milango taa n.k.
Hivyo ndivyo tunavyo amini, kwa hyo Yesu ni Mungu. Na tunazidi kuamini maana kila tumuombapo anajibu sala zetu kwa kutufanikishia yale tunayo yaomba. Pia tume kuwa tukishuhidia watu wakiponywa na wachungaji kwa msaada wa jina la Yesu (yaani Mungu anawaponya watu).
Kama una swali uliza
Hao wenye kupona kwa kutumia jina la Yesu ni pamoja na mitume wa uongo? tunajua kuwa kuna wengine ni matapeli ila hatuoni tofauti ya hao matapeli na wasio matapeli wote hutumia jina la Yesu kuponya.Imani ni kitu ambacho kupingana nacho ni kazi.
Wakritu tunaamini kuwa Yesu ni Mungu. Nikiwa na maana ya kwamba Mungu ni mmoja lakini katika nafsi tatu, yaani Mungu baba, Mungu mwana (Yesu) na Mungu roho mtakatifu.
Kwa mfano rahisi ni sawa na kusema gari ni moja lakni lina matair, milango taa n.k.
Hivyo ndivyo tunavyo amini, kwa hyo Yesu ni Mungu. Na tunazidi kuamini maana kila tumuombapo anajibu sala zetu kwa kutufanikishia yale tunayo yaomba. Pia tume kuwa tukishuhidia watu wakiponywa na wachungaji kwa msaada wa jina la Yesu (yaani Mungu anawaponya watu).
Kama una swali uliza
Mie naamini iko correct. Labda uelewa wako ndio unaweza kua hauko correct. So kabla hatujahamia huko nipe jibu kwanza je wewe unaamini biblia iko correct au imevurugwa? Na kama unaamini iko correct nipe maelezo hayo ya kifo cha yuda.Wapi povu,, unaamini quran iko perfect 100%???? jibu hapa.
Amani ya bwana iwe nasi. Kwa kiarabu ndio hua tunasema Asalaam aleykum.Mungu baba...mungu mwana...mungu roho mtakatifu.....!!amani ya bwana iwe nanyi. ...asiejua mAana haambiwi mAana hapa mtabishana mpaka...ni vema Kila mtu aheshimu imani ya mwenzie tu