JaffarMohammed
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 762
- 283
- Thread starter
- #261
Ohh kwa hiyo Yuda alinunua shamba baada ya Kufa?..Mkuu Huelewi Fungu,baada Ya Yuda kujinyonga they purchaised the place baada ya yeye kujinyonga Mfano ukajinyongee shambani kwetu alafu sisi tuuze lile shamba kwa ukoo wenu kwa hela!
Maana andiko linasema na Yuda alinunua shamba kwa fedha alizozipata kwa njia ya ubadhilifu. Na akiwa huko shambani alianguka na matumbo yake yalipasuka.
Au husomi maandiko? Sasa wewe unasema makuhania walinunua lile shamba alilofia. Mbona unazidi kujichanganya