Msaada wa information kuhusu ST AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA (mwanza campus)

Erick zeph Stanley

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
647
Reaction score
72
Wakuu binafsi nimekuwa admitted st augustine university kozi iitwayyo MASSCOMUNICATION kwa mwenye uelewa kwa undani anipe maelezo kuhusu_
1.hostel zipo au majanga..
2.nimesikia mitihani wanalazimisha kufanya j'mosi je ni kweli?
3.vp malecture wapo wa kutosha hasa kwa Masscom?

Mwisho wanasaut(kwa main campus) kama mpo msisite kujitaja tujuane... Molembe mwanasaut mwenzangu wapi kaka
 
Chuo cha ukweli ,malecturer wapo wa kutosha, kina sheria sana ,hostel zpo ila hazitosh ,watu bnafsi wamejenga hostel nyingi tu zinazozunguka chuo
In short kipo poa.
 
Mitihani ipo siku yeyote hata Jumamosi almuradi siyo siku ya "public holiday". Ukikacha mitihani bila ruhusa ya maandishi unafukuzwa. Jipime mwenyewe.
 
Chuo cha ukweli ,malecturer wapo wa kutosha, kina sheria sana ,hostel zpo ila hazitosh ,watu bnafsi wamejenga hostel nyingi tu zinazozunguka chuo
In short kipo poa.

kaka vipi hzo za watu binafsi sio ghali sana?
 
Kozi unayoenda kusoma pale ndo mahali pake coz wanatoa mpaka phd ya mass com, jumamosi darasani ni kama kawaida na mitihani unafanya na kama msabato umeumia, hostel zipo za chuo laki 3 uraiani vyumba vipo kuanzia laki 4~6 na hostel za watu binafsi.
 
1.Hostel zipo za ndani ambazo zina vitanda 2 double decker na nje kuna maelfu ya hostel kadiri pesa yako inavyoruhusu kuanzia 300,000tsh hadi 1,200,000tsh kulingana na hadhi ya hostel na kama unapenda kukaa na mate basi mta share gharama. 2.Nimepata shida kama ulifaulu kweli, haswa unapouliza wanalazimisha kufanya mitihani jumamosi? Ratiba haiwezi kulenga siku moja ya jumamosi ndipo ufanye mtihani, ukweli ni kwamba ratiba ya masomo ni jumatatu hadi jumamosi vinginevyo iwe holiday hivyo siyo mitihani tu, hata lecture kama una una kipindi jumamosi sharti ufuate ratiba.Kama wewe ni Msabato basi utachagua kupuuza lecture,quiz,test or exams na kufuata Usabato wako kabla hujarudishwa kwenu au ufuate elimu iliyokuleta. 3.Walimu wapo lakini chuo kikuu unatakiwa kujiongeza.
 
1.Hostels zipo za ndani ambazo zina vitanda 2 double decker na nje kuna maelfu ya hostels kadiri pesa yako inavyoruhusu kuanzia 300,000tsh hadi 1,200,000tsh kulingana na hadhi ya hostels na kama unapenda kukaa na mate basi mta share gharama. 2.Nimepata shida kama ulifaulu kweli, haswa unapouliza wanalazimisha kufanya mitihani jumamosi? Ratiba haiwezi kulenga siku moja ya jumamosi ndipo ufanye mtihani, ukweli ni kwamba ratiba ya masomo ni jumatatu hadi jumamosi vinginevyo iwe holiday hivyo siyo mitihani tu, hata lecture kama una una kipindi jumamosi sharti ufuate ratiba.Kama wewe ni Msabato basi utachagua kupuuza lecture,quiz,test or exams na kufuata Usabato wako kabla hujarudishwa kwenu au ufuate elimu iliyokuleta. 3.Walimu wapo lakini chuo kikuu unatakiwa kujiongeza.
 
Kozi unayoenda kusoma pale ndo mahali pake coz wanatoa mpaka phd ya mass com, jumamosi darasani ni kama kawaida na mitihani unafanya na kama msabato umeumia, hostel zipo za chuo laki 3 uraiani vyumba vipo kuanzia laki 4~6 na hostel za watu binafsi.

molembe najua upo saut ila sijafaham uko mwaka wa ngapi?
 
kaka hizo figure za kodi kwa mwaka au mwezi!
 
kaka mi msabato ila da itabid nitii tu sheria vp hyo hyo laki tatu ni kwa semister au ni kwa kpindi gani?
 
Mkuu usisahau kuna kifaransa mwaka wa 2 semister zote kinalositisha watu sana, jumamosi vipindi vinaweza kuwa 2 au hata kimoja tena single hivyo usijali sana, kuna library kubwa na yenye material ya kutosha, kama wewe ni mzee wa totoz hapa umefika.
 
kwa hyo tutajifunza kifaransa daah raha sana na ambao hatujui ht kdogo itakuwaje au wanaanza kama chekechea vile? Mkuu totoz kwa siku moja moja sio mbaya mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…