Ekuweme
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 3,520
- 3,962
Mimi demu wangu huwa inaingia kwenye period siku mshahara unapotoka sijui tatizo ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwetu tuko nane,Ke na Me tumegawana nusu kwa nusu,mke wangu kwao wako 5 watatu ni Ke na wawili Me...my first born ni njemba ya maana sana.Hahahah af pia inaendana na damu, angalia kama ukoo wenu umetawaliwa na mabinti basi ujue watoto wengi watazaliwa mademu.
Kuna theory zangu huwa naziamini japo hazijathibitishwa kisayansi.
1.Kama mwanaume kwenu una madada wengi kuliko mkeo jua probability ya kuzaa mademu wengi ni kubwa ila ikiwa una makaka wengi kuliko mkeo jua probability ya kupata vidume wengi ni kubwa zaidi.
2.Kama mwanume damu yake ni kali kuliko mke atapata madume wengi zaidi kuliko KE. Ila kama damu ya mke inanguvu zaidi basi ratio ya watoto wa kike itakuwa kubwa kuliko ME.
Kama hali itaendelea hivyo ujue una damu kali kumzidi mkeo.kwetu tuko nane,Ke na Me tumegawana nusu kwa nusu,mke wangu kwao wako 5 watatu ni Ke na wawili Me...my first born ni njemba ya maana sana.
Amen....japo napenda nikipata kabinti kafanane saaaanaaaa na mama ake au shangazi zake teh teh teh tehKama hali itaendelea hivyo ujue una damu kali kumzidi mkeo.
Hii 'damu kali' maana yake ni nini..?Kama hali itaendelea hivyo ujue una damu kali kumzidi mkeo.
Genetically stronger than your wifeHii 'damu kali' maana yake ni nini..?
Usile Mbegu.
Hahah sura yako jau ama!?Amen....japo napenda nikipata kabinti kafanane saaaanaaaa na mama ake au shangazi zake teh teh teh teh
ngumu sana kama ya Kingwendu babu,binti akiichukua hii atakula hasara sana hahahahaaHahah sura yako jau ama!?
Wakubwa tumeelewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amen....japo napenda nikipata kabinti kafanane saaaanaaaa na mama ake au shangazi zake teh teh teh teh
Hahahah hio kawaida kwa Gudume Gwa Mbegungumu sana kama ya Kingwendu babu,binti akiichukua hii atakula hasara sana hahahahaa
HahahahahWakubwa tumeelewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahaHahahah hio kawaida kwa Gudume Gwa Mbegu
😀😀😀😀Wakubwa tumeelewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]