Msaada wa jinsi kupata mtoto wa kike

Msaada wa jinsi kupata mtoto wa kike

Hahahah af pia inaendana na damu, angalia kama ukoo wenu umetawaliwa na mabinti basi ujue watoto wengi watazaliwa mademu.

Kuna theory zangu huwa naziamini japo hazijathibitishwa kisayansi.
1.Kama mwanaume kwenu una madada wengi kuliko mkeo jua probability ya kuzaa mademu wengi ni kubwa ila ikiwa una makaka wengi kuliko mkeo jua probability ya kupata vidume wengi ni kubwa zaidi.

2.Kama mwanume damu yake ni kali kuliko mke atapata madume wengi zaidi kuliko KE. Ila kama damu ya mke inanguvu zaidi basi ratio ya watoto wa kike itakuwa kubwa kuliko ME.
kwetu tuko nane,Ke na Me tumegawana nusu kwa nusu,mke wangu kwao wako 5 watatu ni Ke na wawili Me...my first born ni njemba ya maana sana.
 
kwetu tuko nane,Ke na Me tumegawana nusu kwa nusu,mke wangu kwao wako 5 watatu ni Ke na wawili Me...my first born ni njemba ya maana sana.
Kama hali itaendelea hivyo ujue una damu kali kumzidi mkeo.
 
chukua mayai mabichi mawili, utumbo wa kumbikumbi na mavi ya kenge....changanya na bia mbili kunywa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi ile topic ya PROBABILITY uliisomaga ukaielewa vizuri? Apply ile topic kwenye maisha ya UZAZI.
 
Back
Top Bottom