Msaada wa jinsi ya kupata Bank Statement

Wewe kinachokukwamisha ni aina ya visa unayoomba. Alafu point of correction, ukidakwa na bank statement ya uongo, you will never get visa, unawekwa kwenye fraud list ambayo kwa database ya sasa, inafuta records zako after 10 years. Uliza wenzako wanafanyaje, siri ipo hapo. Ila kwa sasa most of embassies hawafanyi, it depends na ni nadra sana, lazima kuwe na kitu tu.
Mkuu most embassy staff wana deal na ma agent wa kutoa visa..
Na hao staff wa ndani ndy wanatoa maelekezo documents gani uweke na ipi usiweke,

Nina idadi ya embassy ambazo staff wake wa kitengo cha visa hawafanyi aproval kwa sababu wanachukuwa pesa ili kulegeza masharti ya baadhi ya documents..

Wapo wanaochukuwa $ 500 au zaidi, usiache nikamwaga mtama hapa mkuu..

Tena inakuwa ni deal kabisa nje ya office watu wanatoa mpunga na wanakuhakikishia kupata viza.
Na zipo embassy zingine hawafanyi kutokana na balozi mwenyewe sio mfatiliaji sana...

Nilishaomba viza ya Italy 2019 na bank statement fake waka cancel viza yangu baada ya approval ya bank statement..

Baada ya miezi 3 nikaomba tena France viza nikapata,

Nilikuwa na bank statement fake pia ila barua ya bank na acc ni yangu halisi kutoka bank lakini embassy hawakufanya approval yeyote kwenye acc yng.
 
Na hao staff wa ndani ndy wanatoa maelekezo documents gani uweke na ipi usiweke ,

Wapo wanaochukuwa $ 500 au zaidi,,usiache nikamwaga mtama hapa mkuu..

Tena inakuwa ni deal kabisa nje ya ofice watu wanatoa mpunga na wanakuhakikishia kupata viza.

Nilishaomba viza ya Italy 2019 na bank statement fake waka cancel viza yangu baada ya aproval ya bank statement..

Baada ya miezi 3 nikaomba tena France viza nikapata ,,

nilikuwa na bank statement fake pia ila barua ya bank na acc ni yangu halisi kutoka bank lakini embassy hawakufanya aproval yeyote kwenye acc yng.
Si unaona tu maelezo yako yananipa picha how amateur you are kwenye mambo ya visa application and everything. Tuko 2023 na bado unaenda kwa agent akusaidie kuomba visa kweli..?? Ndo maana unakosa mkuu, tuliza akili, mambo sio magumu kama hivyo unavyoyafanya yawe.
 
Wewe tuliza akili, know kwanza ni type gani ya visa you need to apply for, know necessary documents zinazotakiwa, andaa pesa ya visa application, watafute watu walioenda hio nchi unayotaka kwenda and ask them how did they get through, the rest will be history.
 
Wee usimdanganye balozi za USA na Canada wanafanya mzee tena wakigundua amefoji anakula ban ya maisha hatokanyaga tena huko kama makonda
Wenzetu wako serious sana na swala la kufoji, yaani wakijua tu kuwa umefoji, ni kweli wanaweza hata kukupiga life ban usiingie kwao forever!!
 
Hivi Mbona kuna watu wanachukuliwa tu na wazungu kirahisi
Lakini wengine wanahitajika kuwa na vigezo vingi
Ili kwenda Abroad....Hivi hii inakuwaje kuwaje
Mwenye ufahamu wa Mambo haya Utusaidie plse
Ukiwa na mwaliko kunakua hakuna mambo mengi, mambo mengi anamaliza mwenyeji wako!!
 
Wewe tuliza akili, know kwanza ni type gani ya visa you need to apply for, know necessary documents zinazotakiwa, andaa pesa ya visa application, watafute watu walioenda hio nchi unayotaka kwenda and ask them how did they get through, the rest will be history.
Maneno mengi kichwani sifuri.

Huwezi kukfundihsa samaki kuogelea.

Najuwa nilitendalo,,sipayuki hovyo
 
Si unaona tu maelezo yako yananipa picha how amateur you are kwenye mambo ya visa application and everything. Tuko 2023 na bado unaenda kwa agent akusaidie kuomba visa kweli..?? Ndo maana unakosa mkuu, tuliza akili, mambo sio magumu kama hivyo unavyoyafanya yawe.
Kwamba wewe viza unaandaa mwenyewe sio.?
Labda utwambiye hapanjukwani ni viza ya wapi uliwahi kuitoa na kusafiri?

Tuanzie hapo mkuu.
 
Wee usimdanganye balozi za USA na Canada wanafanya mzee tena wakigundua amefoji anakula ban ya maisha hatokanyaga tena huko kama Makonda.
Lakini ubalozi wanapopiga simu bank wanauliza kama kweli huyo ni mteja wa bank husika na bank wanathibitisha kuwa huyu ni mteja wetu kweli, ana account yenye namba hizi, katika branch flani period. Hawataji kiasi ulichonacho pesa zako ni siri yako. Ila sasa inakubidi ufanane na hayo mamilioni Yako.
Cousin yangu alirudishwa wakati ameshafika Australia, Yani yule afisa uhamiaji alimuangaliaa akaona hakuridhika nae akamhoji kidogo Kisha kabla hajamgongea entry akaenda nae kwenye ATM kuthibitisha na hapo ndio aliporudishwa na ndege Ile ile aliyoenda nayo😆😆😆
Na ingekuwa wanaruhusiwa kusema kuwa huyu jamaa account yake ni active na Ina kiasi cha tzs 56,500 basi wengi tu tusingetoboa

Ila sasa kuhusu kufoji inabidi udeal na watu wa bank yako. Mi sitataja jina la bank yangu ila mwanzoni walinisaidia sana kunipa bank statements zenye sifa nnazohitaji na nikawa naambatanisha na documents zingine na iam grateful sikuwahi kukosa visa.
Kinachowacost watu ni kwenda stationary na kutengeneza karatasi linalofanana na bank statement na kupeleka embassy.
 
Si unaona tu maelezo yako yananipa picha how amateur you are kwenye mambo ya visa application and everything. Tuko 2023 na bado unaenda kwa agent akusaidie kuomba visa kweli..?? Ndo maana unakosa mkuu, tuliza akili, mambo sio magumu kama hivyo unavyoyafanya yawe.
Mkuu kuna baadhi ya embassy wana masharti magumu sana,
Bila kutumia agent utafeli..
Mfano,,
-ilnvaitation letter
-bank statement
-others documents etc.
 
Nakuelewa ila ukishaanza kutumia agent, jua safari yako lazima iwe very costfull na kama ukileta ubahili unaweza fika airport ukanyimwa hata boarding pass. Tulizeni akili vijana, wote sisi tutaondoka, tujipangeni tu taratibu, fata utaratibu, kama una forge documents forge kwa utaratibu na i assure you, utaondoka tu.
 
Lakini ubalozi wanapopiga simu bank wanauliza kama kweli huyo ni mteja wa bank husika na bank wanathibitisha kuwa huyu ni mteja wetu kweli, ana account yenye namba hizi, katika branch flani period. Hawataji kiasi ulichonacho pesa zako ni siri yako. Ila sasa inakubidi ufanane na hayo mamilioni Yako.
Cousin yangu alirudishwa wakati ameshafika Australia, Yani yule afisa uhamiaji alimuangaliaa akaona hakuridhika nae akamhoji kidogo Kisha kabla hajamgongea entry akaenda nae kwenye ATM kuthihitisha na hapo ndio aliporudishwa na ndege Ile ile aliyoenda nayo😆😆😆
Na ingekuwa wanaruhusiwa kusema kuwa huyu jamaa account yake ni active na Ina kiasi cha tzs 56,500 basi wengi tu tusingetoboa

Ila sasa kuhusu kufoji inabidi udeal na watu wa bank yako. Mi sitataja jina la bank yangu ila mwanzoni walinisaidia sana kunipa bank statements zenye sifa nnazohitaji na nikawa naambatanisha na documents zingine na iam grateful sikuwahi kukosa visa.
Kinachowacost watu ni kwenda stationary na kutengeneza karatasi linalofanana na bank statement na kupeleka embassy.
ATM kwenda kutoa kiasi gani..? Maana ATM zote zina maximum withdrawal amount ambayo ni hela ndogo sana kama ni itatumika kwa show money kama wanavyotaka hao ma afisa uhamiaji wa nchi nyingi. Story yako hii ina walakini sana maana katika Point of entry nyingi za Europe na America, they dont entertain maswala ya cash amount, watu washatoka huko, Europe ukikutwa na Euro 1000 tu, itabidi ujitetetee maana the world is all into cashless transactions. And last time me naenda Melbourne ambayo ni 2022 kulikuwa hakuna uswahili kwenye point of entry, na nadhani ni moja kati ya nchi ambayo haina complications kwenye airport zake.
 
Nakuelewa ila ukishaanza kutumia agent, jua safari yako lazima iwe very costfull na kama ukileta ubahili unaweza fika airport ukanyimwa hata boarding pass. Tulizeni akili vijana, wote sisi tutaondoka, tujipangeni tu taratibu, fata utaratibu, kama una forge documents forge kwa utaratibu na i assure you, utaondoka tu.
Kuna documents ni ngumu kupata kama hutumii agent,
Wao ndy wanajuwa udhaifu wa kila embassy.
Wao wanajuwa wapi wapite warahisishe safari yako.

I
 
Balozi zinafanya labda baadhi ya embassy.

Zipo balozi wanafanya approval.
Kwa ufupi zile nchi ambazo upatikanaji wa Visa zake ni ngumu sana wa nafuatilia saana. US na UK zikiongoza. Na ikidhihirika umepresent fake documents unapigwa ban. Usije sema hujaonywa.
 
ATM kwenda kutoa kiasi gani..? Maana ATM zote zina maximum withdrawal amount ambayo ni hela ndogo sana kama ni itatumika kwa show money kama wanavyotaka hao ma afisa uhamiaji wa nchi nyingi. Story yako hii ina walakini sana maana katika Point of entry nyingi za Europe na America, they dont entertain maswala ya cash amount, watu washatoka huko, Europe ukikutwa na Euro 1000 tu, itabidi ujitetetee maana the world is all into cashless transactions. And last time me naenda Melbourne ambayo ni 2022 kulikuwa hakuna uswahili kwenye point of entry, na nadhani ni moja kati ya nchi ambayo haina complications kwenye airport zake.
Uwe unasoma vizuri mkuu kabla ya kujibu. Kwahiyo we mtu akikutajia Atm unajua ni kutoa hela tu?? Maana mi kwenye maelezo yangu hamna mahala nilipoandika kuhusiana na kutoa hela. Niliandika walienda kuthibitisha.
Kwenye ATM mbali na kutoa hela pia unaweza kuprint bank statements na unaweza kudeposit hela vilevile.(Sina uhakika na ATM za bongo kama nazo zimefika huko.
Stori yangu ilihusiana na wao kwenda kuangalia available balance ili kuthibitisha kama ana pesa ya kutosha kutumia kipindi chote atakachokuwa Sydney na sio kwenda kutoa hela kama ulivyodhania.
Pia hiyo stori ni ya muda mrefu sana huyo binamu yangu niliesimulia stori yake baada ya hilo tukio alijipanga vizuri na akaenda tena alifanikiwa kupata karatasi, kwasasa alishaukana Utanzania na anatumia Australian passport

Halafu ni nchi gani hiyo ya ulaya ambayo ukiwa na euro 1,000 tu inabidi ujieleze??
Binafsi nilihamia Europe toka 2014 na nimeshasafiri mara nyingi mno hivyo nazijua vizuri taratibu na sheria za EU.
Kisheria nchi za Europe (hasa EU na schengen area) japo hazitumii sana cash ila unaweza kusafiri na pesa cash ukipenda, tena kiasi chochote kile hadi euro 10,000 na hata zaidi ya euro 10,000 ambacho ni kiasi cha kawaida na ikitokea umebeba pesa nyingi sana zaidi ya euro 10,000 au equivalent unaweza tu kuulizwa kwanini ila sio kosa kisheria na hawakufanyi chochote.
Pia madukani tunatumia card ila hata ukiwa na cash unahudumiwa, tatizo huwa ni chenji ila ukiweza kuibalance hela yako na isihitaji chenji basi unashop vizuri tu
 
Mkuu most embassy staff wana deal na ma agent wa kutoa visa..
Na hao staff wa ndani ndy wanatoa maelekezo documents gani uweke na ipi usiweke,

Nina idadi ya embassy ambazo staff wake wa kitengo cha visa hawafanyi aproval kwa sababu wanachukuwa pesa ili kulegeza masharti ya baadhi ya documents..

Wapo wanaochukuwa $ 500 au zaidi, usiache nikamwaga mtama hapa mkuu..

Tena inakuwa ni deal kabisa nje ya office watu wanatoa mpunga na wanakuhakikishia kupata viza.
Na zipo embassy zingine hawafanyi kutokana na balozi mwenyewe sio mfatiliaji sana...

Nilishaomba viza ya Italy 2019 na bank statement fake waka cancel viza yangu baada ya approval ya bank statement..

Baada ya miezi 3 nikaomba tena France viza nikapata,

Nilikuwa na bank statement fake pia ila barua ya bank na acc ni yangu halisi kutoka bank lakini embassy hawakufanya approval yeyote kwenye acc yng.
wanafanyaje hapo asee shusha madini
 
Back
Top Bottom