Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,888
- 3,352
Hii system ipooo atume tu AdvansiiiWewe unatafuta viza kwenda u.s.a na kwenye account yako wanataka wajue una sh ngapi ili usijeukapata shida Kama utakwama[emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii system ipooo atume tu AdvansiiiWewe unatafuta viza kwenda u.s.a na kwenye account yako wanataka wajue una sh ngapi ili usijeukapata shida Kama utakwama[emoji3][emoji3]
Kivip chiefKabisa mkuu,,ila wanaotoa viza za uhakika wapo,,
Na wanakuwa na msimu wa kutoa na msimu hawatoa viza ,
90% wanakosa viza.
So unatakiwa ucheze nao ktk msimu wa kupata na sio kukosa viza.
Kuna kipindi hazitoki,,na kuna kipindi mtu fulani ndy anatoa sn, wengine hawatoi,,namaanisha wanakosa.Kivip chief
@US Embassy njooni mumsome huyuHelo nina shida na bank statement ya kufoji jaman mwenye uwezo wa kunisaidia
Msimu upi sasa au miezi ipi??Kuna kipindi hazitoki,,na kuna kipindi mtu fulani ndy anatoa sn, wengine hawatoi,,namaanisha wanakosa.
Kuna kipindi zinamwagika kila ukiingiza ubalozi..
So cheza ma msimu,,
Kwa mtu ambaye upo kwenye mfumo ni rahisi kujuwa nani anatoa kwa sasa na nani hatoi.
Kabla hujaomba viza kwnz chunguza nani anaupepo wa kuzitoa kwa kipindi hiki.